No title

ARV

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
4,969
6,963
Methali mpya za kiswahili...

(1) Mfa maji? ............Tampa life jacket.
(2) Mwenda pole?.......... Tachelewa fika.
(3) Usipoziba ufa ?.......... Mwizi taona mpaka ndani.
(4) Usilolijua? ................Uliza google.
(5) Mbio za utelezini?.......... Chafua guo yako.
(6) Ukipenda boga?................. Ngoja mezi ya ramzani tapata.
(7) Ukiona vinaelea?............. iko nyepesi hiyo.
(8) Maji yakimwagika? .........................Mwambie dada tapiga deki.
(9) Chelewa chelewa? .................Takosa guo ya sikukuu...
(10) Kila ndege ........? Hutua Airport
(11) Bandu bandu ..............? Rafiki yake Jecha
(12) Mtaka cha Mvunguni ............? Ondoa tanda
(13) Simba mwenda kimya ..............? Kama sio gonjwa basi haina njaa
(14) Aisifuye mvua .............? Najua iko Mkulima hiyo
(15) Barabara ndefu .................? Ongeza mwendo au tachelewa fika
(16) Mlanawe hafi nawe ila ...............? Takimbia
(17) Asie sikia la mkuu ................? Tapeleka jela
(18) Hasira za mkizi ................? Tatafuna wewe
(19) Mchamba wima ..................? Karibu ya Hurumzi
(20) Akumurikae mchana ...............? Kipofu hiyo
(21) Mficha maradhi .................? Taenda Loliondo
(22) Mkataa wingi .................? Taenda Chadema
(23) Bendera ..................? Kama sio ya CCM, ya CUF
(24) Baniani mbaya .................? Peleka Bombay Lakini sio kweli, naonea tu
(25) Akili nyingi .................? Tapasi mtihani yote
(26) Penye kuku wengi? .................. Chinja mbili tatu ivi, hapana mtu najua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom