Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,263
- 17,140
nimeangalia link uloweka nimekasirika sana.
kwa nini umekasirika binamu?
nimeangalia link uloweka nimekasirika sana.
HIGHLY DEVELOPED TRIBE IN TZ! ptuuu!
kwa nini umekasirika binamu?
Funza hawajali kabila - kama mazingira kwao ni sahihi (vumbi jingi, watu kukosa viatu,nk) ni shida kuwakwepa.
Unawa-promote wahuni lengo lao kuomba misaada halafu wanapeleka 0% kwa walengwa 100% wanakula
mkuu huku funza wapo lakini sidhani kama wameshafikia level ya kuwa na charity programme kama hizi ninazoziona kwenye picha, ni wale wa kuchangamshia miili tu
Nilfikiri ni pedicure service.....
mkuu huku funza wapo lakini sidhani kama wameshafikia level ya kuwa na charity programme kama hizi ninazoziona kwenye picha, ni wale wa kuchangamshia miili tu
naanza kuwa na wasiwasi na data hizi japo kwa kiasi kikubwa zinareflect uhalisia!Kigoma, Bukoba zaidi mkuu!!!

Kweli ujinga bado ni tatizo miongoni mwetu. Hivi funza nao ni wa kufanya tulisimange kabila la watu?!!
Mi nahisi tuna yetu sio bure. Kama mtu msomi mkubwa kabisaaa anapata UKIMWI ambao anajua unavyoambukiza, kuna ajabu gani kwa mtu anayefanya kazi mashambani kupata funza?
mkuu, hawa jamaa walikuwagepo huku kwetu siku hizo lakini sasa hata hapa kisiwani kwetu ni nadra sana kuwaona
Nimeangalia link uloweka nimekasirika sana. Miaka ya nyuma nikiwa ktk nchi fulani nje ya nchi tulipewa zoezi la kuelezea nchi zetu na changamoto zake ktk afya na mambo mengine. Jamaa yangu kazama kwenye internet na kuibuka na ripoti ya kichaaa mmoja aliyekuwa na lengo la kuibia wazungu eti TZ 74% tya watoto hawaendi shule kisa wazazi wao wamekufa kwa ukimwi jamaa lengo apewe pesa aanzishe shule binafsi. Mimi mpole lakini nilipinga kwa nguvu zote ikiwa ni pamoja na kutoleana maneno makali na MTZ mwenzangu yule. Mwiso wa siku majority waliungana nami kuwa data hizo ni za kupika. Jamaa hakuweka physical address wala simu ya landline, aliweka namba ya mobile na email tu na nembo ya kihuni. Sasa hawa jamaa hawakuona vitu vizuri mpaka waanike hayo tu? Je wanayo ruhusa kutoka kwa watu waliowapiga picha?? Sis tusiwe tunawapromote wahuni hawa
hapo kwenye red umenikumbusha kitu muhimju sana, kuna ukweli mkubwa sana hapo aisee!Mkuu kama sikosei sehemu ya Kyaka na Kisiwa cha Bumbire hakuna TATIZO kama hilo. Alafu nimesoma makala kuhusu imani kwamba wanafunzi wanao liwa liwa na funza wako intelligent - mimi niliwahi kushuhudia nilipo kuwa shule ya msingi, utakuta wanafunzi walio kuwa wanasumbuliwa sumbuliwa na FUNZA walikuwa na akili sana!!! Sio UTANI, honestly. Kuna mwana JF alisema FUNZA uchangamsha mwili/vidole vya miguuni , kwa maoni yangu kuchangamsha hakuishii miguuni kunakuwa propagated mpaka kwenye UBONGO kuchamgamsha AKILI, maanake si rahisi kuelewa uhusianao wa FUNZA na AKILI za darasani kunatokana na NINI?
Lazma we ni muuru!