Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,169
- 10,783
Jamaa unahoja lakini watu wanakupinga bila sababu. Je zitto angekuwa kwenye sekta binafsi ingekuwaje. Angeambiwa achukue likizo ya mwaka1 akasome, au wengine wangemuambia a resign kwa ajil huwezi kusoma germany full time na kufanya kazi tz full time. Na kama tafanya phd kwa miaka3 inamanisha atakuwa hayupo kwa kipindi hicho chore. Je kampuni binafsi inaweza kukulipa 12m a month ukiwa away
Yeye tangu mwanzo hakusema kama unavyomsemea hapa
Ulichosema Semilong ni sahihi na hakina ubishi, kuwa Zito hakutakiwa kwenda kusoma PhD kwa sababu yuko kazini(kaajiriwa na wapiga kura wake)
Ila naamini kuwa kuwa likizo sio lazima usafiri au uende mbali sana na eneo la kazi. Zito kama wabunge wengine wote-I mean wote (>250) wako likizo kama definition yako ya likizo ni kuwa nje ya eneo la wapiga kura.
Tangu "kuumbwa" kwa taifa hili, wabunge huwa hawakai katika majimbo yao! if are we to use that standard then ni wabunge wote. kama hii ni sawa Tanzania basi Zito hana kosa, kama ni kosa basi wooote wabunge wana makosa.