Jamaa amedai amemnukuu.Kaandika yeye au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa amedai amemnukuu.Kaandika yeye au?
Luteni cool down,hii ni free media sio kama uhuru na mzalendo.hapa tunatoa maoni ,hakuna gagging.Jilulize haya:
1.huyu ni serving MP,anaruka kusoma ulaya kwa chuo private ,kinatoza millioni 40 kwa mwaka.Bila shaka Kigoma kaskazini kuna kids wanakaa chini darasani!Kama kuna watu wamemponsor (sio govt) unaquestion independence yake,yeye kama mtu nyeti katika kamati ya bunge.je hawa wanaomsponsor ni lobbyists?
2.je bunge linamruhusu mtu analipwa fortune kuwasilisha wananchi wa kigoma,huku akisoma ulaya at the same time?
naona hii ni Tanzania tu,hata wapopo hawafanyi haya mambo
Sikujua kuwa Mh. Kabwe naye yuko njiani kupata Phd!atapata tu.Hivyo vyuo viwili ni private
,vilianzishwa mwaka 2000 na watu wawili named after the colleges.Sio full fledged University,
Ujerumani kinaitwa Hochscule.Vyuo hivi vinatoa combine masters ya business and law,hivyo
vinashirikiana.
Kama Mh atakuwa amemaliza Masters huko,it means alikuwa full time kwa mwaka mmoja,
sijui wananchi wa kigoma kaskazini wanajua mbunge wao alikuwa full time huko,au akina sam six wanaweza kuruhu serving MP kusoma ujerumani wakati also yuko kwenye kamati
nyeti za bunge.Ukiangalia hii masters ni mwaka mmoja full time.
ada ya kusoma (tuition) ni EURO 22000/= kabla ya living costs!Ukiconvert kwa hela ya madafu ni rate ya Tshs 1800 kwa euro ni Tshs 39,600,000/= karibu millioni Tshs 40millioni.
Ndiyo huyu wabongo ndio tunamwona ni anti -ufisadi,you are jocking!
umezungumzia JK akiwa state,eti ushauri kwa watu wa huko wasiendeshe expensive cars,hawajajenga nyumba kwao etc.What a rubbish.I know kuna watu wengi bongo hawajajenga makwao,wote wameishia Dar na mijini tu.
Kama mtanzania yuko nje mwenye akili,sioni sababu ya kuhudhuria mikutano na viongozi kutoka bongo.hawa wana kula per diem na kununua suit mpya ,bora kama unapiga mabox ,piga sawasawa upate dollar,euro au pound.lakini kama wewe ni mwana SISIEM hudhuria tu
loosers!
Sikujua kuwa Mh. Kabwe naye yuko njiani kupata Phd!atapata tu.Hivyo vyuo viwili ni private,vilianzishwa mwaka 2000 na watu wawili named after the colleges.Sio full fledged University, Ujerumani kinaitwa Hochscule.Vyuo hivi vinatoa combine masters ya business and law,hivyo
vinashirikiana.!
Kama Mh atakuwa amemaliza Masters huko,it means alikuwa full time kwa mwaka mmoja,sijui wananchi wa kigoma kaskazini wanajua mbunge wao alikuwa full time huko,au akina sam six wanaweza kuruhu serving MP kusoma ujerumani wakati also yuko kwenye kamati nyeti za bunge.Ukiangalia hii masters ni mwaka mmoja full time.
Kwa mujibu wa uchambuzi huo, Dk. Slaa ameshika nafasi ya kwanza kwa kujizolea jumla ya ushiriki 268, maswali ya msingi (33), maswali ya nyongeza (106) na michango (129) bungeni.
Wa pili, ni Msindai, mwenye jumla ya ushiriki 256, maswali ya msingi (5, maswali ya nyongeza (109) na michango (89), huku Lubeleje akishika nafasi ya tatu kwa kupata jumla ushiriki 225, maswali ya msingi (46), maswali ya nyongeza (9 na michango bungeni (81).
Wanaofuatia kwenye mlolongo huo, na jumla ya ushiriki wao kwenye mabano ni Diana Chilolo (Viti Maalum-CCM- 214), William Shellukindo (Bumbuli-CCM- 20, Zitto Kabwe (Kigoma Kaskazini-Chadema- 199), Godfrey Zambi (Mbozi Mashariki-CCM- 192), Juma Killimbah (Iramba Magharibi-CCM- 186), Jenista Mhagama (Peramiho-CCM-185), Suzan Lyimo (Viti Maalum-Chadema-179), Michael Lekule Laizer (Longido-CCM-16, Lucas Selelii (Nzega-CCM-163) na Job Ndugai (Kongwa-CCM- 161).
Mimi swali langu halihusiani na hoja ya mleta mada, ila ninauliza, hiyo ni postgraduate what? Kwa maana kuna Postgraduate Certificate, Postgraduate Diploma au alimaanisha Postgraduate Study gani ?At the time i am doing a second post graduate on Law and Business at Bucerius Law School in Hamburg
wengine wanaenyeke china miaka minne kwa master hiyo ya mwaka mmoja mbona inanitisha.je na wajerumani nao ni mwaka huo mmoja au ni kwa foreigners tu.wengine maisha safi kweliCome on Gangi Longa,kuhusu african leadership,hatuhitaji mtu asome ujerumani ili awe kiongozi mzuri,eti kutayarisha future leaders.What a nonsense.Nimefika Ujerumani,mzungu wa huko unafikiri anacare less about Tanzania?
Naona unajidanganya.Kuhusu wananchi wa kigoma kaskazini,kama ujuavyo wananchi wengi wa tanzania hawajui lolote,wengi wako vijijini,they cant read or right,they cant read newspapers ,access ya mediahawana kabisa.Nilifika Kigoma najua mambo ya huko.
To be fair hata jijini Dar the same,ndio maana mtu anaweza kuwa mmbunge na fake Phd ,
lakini atachaguliwa tu .
Eti unataka kusema chuo hicho ni maalumu kwa Mineral law,what a rubbish.Kumbuka hiki sio Chuo Kikuu proper!angalia modules zao za Masters hiyo ya Zitto.Huhitaji kusoma mineral law uwe lawyer wa mining..what a joke.
Kuna watu wengi wenye LLB wanaspecialise katika labour,immigration,mining contracts,commercial wakiwa kazini baada ya kuingia katika firm inayotoa huduma hizo.
hapa ndugu hatujuani,so ukisema mimi mbeba ni stereo type ya watu hapa bongo kwa wale wanaoishi majuu.sio wote wanafanya kazi za mabox(though wachache)
Nimeona maaccountants,IT people,doctors,engineers etc.
Mimi swali langu halihusiani na hoja ya mleta mada, ila ninauliza, hiyo ni postgraduate what? Kwa maana kuna Postgraduate Certificate, Postgraduate Diploma au alimaanisha Postgraduate Study gani ?
At the time i am doing a second post graduate on Law and Business at Bucerius Law School in Hamburg
Asante Mkuu, naelewa yote hayo kwamba anything baada ya bachelors degree ni postgraduate study (ukiondoa short courses). Swali langu ni hili, hiyo ya kwake ni nini? (maana amesema tu second postgraduate). Umeziorodhesha hapo, sasa yeye anasoma postgraduate study ipi?hata masters degree & phd ni postgraduate program. nijuavyo mimi any study program baada ya undergraduate inaitwa postgraduate(in most european universities) au graduate program(US).
Kwahiyo kuna post graduate certificate,post graduate diploma,postgraduate degree(masters au phd) au
graduate certificate,graduate diploma, graduate degree(masters au phd) US.
Open for corrections please!