Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Mkuu hana cha kusimulia,kwa kuwa treatment yake ilikuwa tofauti sana na watoto wa wakulima!Ana mengi ya kusimulia kuhusu jkt, hongera zake kwa kumaliza salama.
Mkuu hata jana ni enzi hizo!Hii si ya juzi tu? Zishakuwa 'enzi'?
Hii si ya juzi tu? Zishakuwa 'enzi'?
Na wala halikuwa jeshi, ilikuwa retreat...
Nilikutana na mkuu wa kikosi chake wakati wanaendelea na mafunzo huko Mgambo JKT...
Ngoja niishie hapo....
Ni aina nyingine ya ufisadi...na sasa watatengeneza virus vya hatari zaidi..lol!!
Babu DC!!
Kweli tumevamiwa, wazee tunalazimisha ujana, na vijana wanalazimisha uzee
Sijui kwa faida gani
Afu wee si Retired Major? Ngoja uje uwapige hands up