Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli something is wrong here!

Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli something is wrong here!

Nitakua wa mwisho kumlaumu katika hili.
Uraisi nafikiri si kuamua kila unachotaka.

Huenda alitamani kwenda ila taasisi ikaona hapaswi kwenda, huwezi jua.

Ila labda kama itatokea akatoa maneno tatanishi kama bk.....hapo sasa ndio tunaweza kutia neno.

Waliosema kuwa ' siku zote dalili ya mvua ni mawingu ' wala hawakukosea. Kama matukio ya muhimu matatu yote Bwana Mkubwa ' kayachunia ' na ' kaunyuti ' tu unataka hakikisho gani lingine tena kuweza kujua kwamba there is something wrong with him? Abadilike na asipende kuwa ' loner ' na pia apunguze kuwa na ' negative attitude ' kwa Watu wa maeneo fulani ya nchi. Anatufanyia nchi mambo mazuri mno na tunamshukuru kwa hilo ila afanyie Kazi hizi ' kasoro ' zake ndogo ndogo na ambazo kimsingi kabisa ndizo zinampunguzia ' umuhimu ' wake hadi anawapa fursa ' Critics ' wake waweze kupata cha kuongea na kumsema.
 
Napenda kuwapongeza na kuwashukuru washauri wa rais kwa kutumia weledi wao kwa kumshauri asihudhurie msiba wa Leo wa watoto wetu sheikh abeid karume. Kwasababu jamaa angetuongezea majonzi na simanzi kwa kauli zake mbofumbofu.

Moyo ulikuwa unadunda labda ataibuka ghafla lahaula haikuwa hivyo.

Sasa kwa huo weledi hawa washauri waliotumia pia wamshauri Sizonje utawala bora na kuinua uchumi wa nchi.

RAMBIRAMBI ZIWAFIKIE WALENGWA

Nilifungua uzi ili nikugonge makwenzi kumbe una point !!!
 
Kwani kasahau maneno ya Lema? Kwani hajitaki? Na pia Raisi angesikia kichefuchefu kumuona Lema. Bora hajaenda.

Ila mleta Mada kichwani hayupo Sawa kiakili tena kitambo tu kagombana kwa matusi karibu nusu ya wana jf ni wa kumpuuza tu... ndio waandishi makajanja aliyoisema Mwakyembe. Pia mwambieni a edit maneno yake vichapizi vingi mno.

Mliozaliwa kwa ' Mimba ' za bahati mbaya zilizowaingia ' Waliowazaa ' huku zikiwa na ' chembechembe ' za ' takataka ' mkizaliwa mnakuwa na ' matatizo ' makubwa sana na moja wapo ni kama ' upupu ' uliotuanikia hapo juu.
 
Yaani unawaza Rambi rambi zao tu ila kingi tunafikilia jinsi ya kuziwakilisha waje na vyeti vya kuzaliwa TIN na mlolongo watazitumiaje pesa.. au tutawanunulisha hisa za Voda zote. Na baadhi ya fedha kujengea manara na kurekebisha kipande cha barabara kilichoharibika
 
Mliozaliwa kwa ' Mimba ' za bahati mbaya zilizowaingia ' Waliowazaa ' huku zikiwa na ' chembechembe ' za ' takataka ' mkizaliwa mnakuwa na ' matatizo ' makubwa sana na moja wapo ni kama ' upupu ' uliotuanikia hapo juu.
Hoja za wana JF umezishindwa maana faster unakimbilia matusi kama hujafunzwa na wazazi wako na watu wa dini.. utakuwa Unalaana wewe si bure... wengi tumekupuuza sasa unarukia kwa Raisi soon utapotezwa trust me ukiendelea na upuuzi wako... wewe unajua sababu za raisi kitokwenda? Ati mtetezi wa raisi mtandaoni unaandika huku umebana pua. .. humu watu wanatoa Stress tu Raisi hafutilii kimaanani. Acha Kucheza na Taasisi ya Uraisi msione nchi inaenda tu vyombo vinafanya kazi... sina haja ya kukuonya tena.
 
Psychologically tu anayetaka kufanya kweli jambo huwa ' hamshtui ' Mlengwa hivyo kwa huu ' mkwara ' wako Mbuzi Kwangu naungana moja kwa moja kuwa katika hiyo Taasisi uliyopo kuna ' uozo na uharo ' na kwamba ' mabadiliko ' makubwa sana yanatakiwa kufanyika vinginevyo kila siku tu mtaendelea kuwatishia Watu na ' Bastola ' bila hata kutumia akili. You're very STUPID!

Na kamwambie huyo au Kawaambie hao waliokutuma au kukupa hiyo ' Special ' assignment Kwangu kuwa GENTAMYCINE sitoacha kusema ukweli hata kama ' utanigharimu ' maisha yangu kwani hivi ndivyo nilivyoumbwa na kamwe sitobadilika na kwa hili ' bandiko ' lako la kunitishia ndiyo kwanza umenipa ' chachu ' ya kuzidi kukosoa pale hao ' Masters ' wako wanapokengeuka.

Kuna Threads na Posts nyingi sana humu nimekuwa nikimsifia huyo ' Master ' wako mbona sijawahi kukuona ukijitokeza kuja kunipongeza? Kwahiyo Wewe unataka Yeye ' asifiwe ' tu ndipo uone GENTAMYCINE ni mzuri? Mimi Magufuli akikosea namkosoa na akifanya jema nitamsifu na vivyo hivyo kwa Lowassa kwamba na Yeye akifanya jambo zuri nitampongeza ila akikengeuka tu nae basi kama kawaida yangu nitamuwasha.

Sipo JF kumpendeza Mtu yoyote bali nipo JF kusema kile ninachokiona kinahitaji uwezo wangu mkubwa wa ' akili ' niliojaaliwa na Mwenyezi Mungu kwani huo ndiyo ' Utajiri ' pekee nilionao tofauti na ' utajiri ' wako Wewe wa ' Upumbavu ' na kuja ' kutishia ' Watu humu JF. Naomba hiki nilichokiandika hapa ' wafowadie ' Wapumbavu wenzio wote na waambie nipo tayari kwa lolote na saa yoyote ile.

Mwisho siku nyingine ukitaka majibizano na Mimi tafadhali tumia ile ile ID yako inayojulikana na wengi humu ambayo ukizidi ' kunichefua ' nitaiweka hadharani ili ujulikane Wewe ni nani na usidhani labda sikujui isipokuwa ndiyo nazidi tu kukudharau na umeonyesha ni jinsi gani unavyoniogopa hadi unaamua kuja kunijibu kwa ID nyingine Wahedi Fankulo mkubwa Wewe.
 
Back
Top Bottom