Mwana Kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2011
- 652
- 607
Tuna Mkuu mwenye moyo wa jiwe. Kuhudhuria mazishi atajishusha sana atapoteza "presidencyhood" Amepanga kuhudhuria hivi vitu wakati wa Kampeni lakini will be TOO LATE
Akazinguaa hatareeSi huwa anaenda mingine jamani!! Kama nakumbuka vizuri alienda kwenye msiba wa Dr. Didas masaburi.
Na leo angesemaje tena????Akaenda kagera kusema hajaahidi tetemeko...
Rais ni taasisi? Ameshawaambia hakuna aliyemsaidia kwenda kuchukua fomu ya urais. Kwahiyo urais ni kwake peke yake, muwe mnaelewa!kwanza tu nikupe pole kuwa wewe si jasiri ni muoga sana na hizo sifa ulianza kueleza kwenye hii makala haunazo embu leo toa maoni yako kwakutumia ID isiyo mficho yaani weka namba yako ya simu ili utumiwe meseji kuwa ujumbe wako umefika pili usitake kumpangia mh raisi majukumu kumbuka raisi ni taasisi hivyo akiwakilishwa na makamu wake ni sawa na yeye kuwa yupo pale .yaani makamu kama mwenyewe hayupo pale basi ndiye mkuu.i hope umeelewa.kwa kuanzia hapo.
Mwingine huyu akili fupi wa kuQuote thread nzima, kha!Mpaka karne hii unaamini ushirikina pole sana. Yaani hata part ya akili yako haijakupeleka kwingine. Unajua nani anamshauri Rais. Unajua hatua anazochukua ( ni kuhakikisha mali ya watanzania inaliwa na wote inamcost kiasi gani?) Unataka kuniambia umeumia na unauchungu zaidi kuliko Mh. Rais. Unajua impact yake achilia mbali uchungu kwa wazazi fanmilia na Watanzania wengine umeanalyse impact yake kitaifa lakini! Hebu muache masihara kwenye serious Issue kama hizi!
hamna loloteHuyu jamaa nilishasema sana ana roho mbaya ila watu hamtaki kukubali. Nilishaliona mapema tangu lile tetemeko la Kagera sins imani naye tena.