Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli something is wrong here!

Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli something is wrong here!

Sidhani kama watu wa ars wanakumbuka wasemayo,Rais wa mioyo yao alikuwepo Mh.Edo ss Sizonje wanamtaka aje kufanya nn??
 
Uraisu ni cheo kigumu sana.. Angeenda wangehoji kwann asingewakilishwa.. Hajaenda wanahoji kwanini hajaenda.. Bora tu uwe raia wa kawaida
Hakuna kitu kama hiki kwa kawaida kabisa Rais alitakiwa awepo na si vinginevyo,Rais kakosea sana
 
Ninamkumbuka mzee kingunge alisema huyu alistahili kuwa mnyampala wa barabara na si vinginevyo, sasa yametimia.
 
Aliangalia kwenye tv akasema amesikitika sana! Lkn wafiwa walikuwepo! Ila yeye alisikitikia through tv then twitter!

Anataka watanzania wamwombee ila wakipata majanga na misiba watajijua!
 
Kabla ya kukujibu swali lako la ' Kipumbavu ' kabisa kuwa uwepo wake ungepunguzaje majonzi mtafute hapo karibu Mtu unayedhani anakuzidi au amekuzidi ' akili ' kisha muulize nini maana ya ' Rais ' na huwa ana ' umuhimu ' gani kwa Wananchi alioapa kuwatumikia pindi wanapokumbwa na matatizo / majanga kisha akishakujibu rudi hapa tena Kwangu ili nikufundishe sasa jinsi ya kufikiri na kujenga hoja pengine siku nyingine usije ukawa ' Kichekesho ' kwa Great Thinkers ' tuliotukuka '.
duh huwezi jibu hoja bila kujadili mtu, hongera kwa kunizidi akili lakini ni kama umekurupuka hivi
 
JK alipokuwa anahudhuria misiba mlimsema sana. Kwamba hana kazi za kufanya. Huyu huendi mnasema hana ubinadamu. Nyie watu mkoje!?
 
ad81de5dd71b93a77ae802964cc8833b.jpg
 
Back
Top Bottom