Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli something is wrong here!

Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli something is wrong here!

Kukaa IKULU na kuangalia ' mubashara ' uagwaji wa Marehemu na ' kutwiti ' mtandaoni kuwa nae amelia ndiyo hayo ' Maendeleo ' yako unayosema anayafanya? Mkuu tafadhali sitaki ' nikudharau ' halafu ukajiona Mtu usiye na thamani tena hapa duniani. Kajifunze kujenga ' Hoja ' na ukishakomaa kisawasawa urudi tena humu ili tukupime kama ' umekwiva ' au bado sawa?

Sawa nimekuelewa wewe uliye kwiva kujenga hoja........
 
Just thinking louder;

Huyu Mheshimiwa ni kama ana jambo kama sio mwiko fulani kufika kwenye majanga na msiba mizito;

Lilianza tetemeko la Bukoba, ambapo sio tu hakufika na pia kuhakikisha wahanga wake wanasaidiwa na kuhudumiwa kama wanadamu na kwa mujibu wa utamaduni wetu na utu, lakini alifika baadae sana tena kwenda kugomba na kutoa matamko makali.

Likaja la mauaji mabaya sana ya polisi kule Pwani, lakini akaona kwenda kufungua mabweni ya chuo kikuu Dar-Es-Salaam ndio shughuli muhimu na ya maana sana kuliko kwenda kuaga wapendwa hao na kufariji wafiwa.

Juzi tena likaja la ajali na vifo vya watoto wadogo-wanafunzi wapatao 33 kule Arusha, Inasemekana aliwakilishwa na Makamu! Nashangaa mbona hakuwakilishwa kule Dodoma kupokea taarifa ya veti feki? Lakini Arusha kuna umbali gani kwamba asingeweza kwenda kuaga marehemu na kutoa pole na kisha kurudi Dar? Lakini pia kama kawaida tunaambiwa sehemu kubwa ya rambirambi zimetumika visivyo na yuko kimya! Je anafurahia hilo.
 
Uraisu ni cheo kigumu sana.. Angeenda wangehoji kwann asingewakilishwa.. Hajaenda wanahoji kwanini hajaenda.. Bora tu uwe raia wa kawaida
 
  • Thanks
Reactions: nao
Maagizo ya 'Karumanzila'
Kupanga ni kuchagua.Kifo kikishatokea kimetokea.La msingi ni kwa kiongozi kukaa na kubuni mikakati ya kuzuia vifo.Usipoangalia unakuwa rais wa kutembelea misiba tu jila siku.Gharama za Rais kutembelea kila msiba ni kubwa mno.
 
Keshasema hataki habari mbaya.

Angeweza angezuia habari zote za vifo kutangazwa.
 
Kawaida ya mijitu mikatili huwa inafurahia kimoyomoyo yanapo ona binadamu mwezake akiteseka na huwa hawashiriki na wakati huo wa majonzi
Umetumbuliwa tumbuuu kwa vyeti feki wewe, hilo jazba siyo bure. Acha janja janja na ujifunze kula kwa jasho Kawa wengine
 
  • Thanks
Reactions: nao
Back
Top Bottom