Mheshimiwa Lukuvi unaweza kweli kuvaa viatu vya Tundu Lissu?

Kwakweli viatu vilivyo mshinda warema sidhani kama lukuvi anaweza kuvigusa!
 
One Tundu Lisu= 20 CCM MPs

Mkuu unamdhalilisha Lissu. CCM nani anaweza kutetea maslahi ya Taifa ukimuacha Muhongo ambaye naye very soon will be gambalized. Angalia Mwakyembe sasa hivi anatetea wizi wa shirika la ndege la Lebanon.
 
Back
Top Bottom