Mheshimiwa 'Kei' akiwa bize kazini kwake.

Mheshimiwa 'Kei' akiwa bize kazini kwake.

Mmh!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Alafu yule wa pembeni ana gamba la kijani ndiye mwana uvccm?
 
...Akionyesha uchapaji kazi uliotukuka.
Yule kule wa mwisho aliamua kuvaa gamba kuonyesha mapenzi ya dhati ya chama chake tukufu.
attachment.php

Ha ha ha,
Huyu jamaa ni janga la kitaifa.
Tembo wengi wanamlilia sana huyu jamaa kwa kuteketeza ndugu yao
 
Sinywi bia ila sasa naanza kujifunza na naanza na kinana, zisijeisha kabla sijaonja utamu wake kwan wakianza kuzipromote kwa jina hilo zitaadimika fasta
 
Back
Top Bottom