Uchaguzi mdogo ubunge: Songea mjini kurindima uzinduzi wa kampeni za CCM

hugochavez

JF-Expert Member
Mar 1, 2013
1,907
1,009
Hayawi hayawi sasa yanaenda kuwa. Leo tarehe 30/12/2017 CCM wanazindua kwa kishindo kikuu kampeni zao za kumnadi mgombea ubunge jimbo la Songea mjini katika uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika trh 13 January 2018. Uzinduzi huu utakaofanyika kuanzia saa nane Mchana katika kata ya Lizaboni utarushwa live kupitia ukurasa huu wa Jf, vyombo mbalimbali vya habari pamoja live streams zingine.
Songea mjini wameamua kwenda na Mwanasheria msomi mwalimu wa Chuo kikuu Doctor Damian Ndumbaro. Tafadhali usikose kuhudhuria kama uko songea na usikose kufuatilia live updates hapa jf kama upo mbali na songea na zaidi kuwa karibu na TV yako fungulia Chanel 10, ITV au tbc1.

Songea Twende na Dr Ndumbaro
 
Huyu Tapeli mlotuletea safari hii, hakuwa na mchango wowote kwa wana Songea. Amalizie tu hii miaka 2, 2020 tutaangalia mtu muafaka na sahii.
 
Huyu Tapeli mlotuletea safari hii, hakuwa na mchango wowote kwa wana Songea. Amalizie tu hii miaka 2, 2020 tutaangalia mtu muafaka na sahii.
Imekula kwako jambazi wewe. Unamwita tapeli kwa sababu umebanwa mirija yako ya ujambazi
 
Huyu Tapeli mlotuletea safari hii, hakuwa na mchango wowote kwa wana Songea. Amalizie tu hii miaka 2, 2020 tutaangalia mtu muafaka na sahii.
Wewe una mchango gani zaidi ya kujaza choo tu?
 
Upotezaji wa pesa za umma tu
Hakuna haja ya kampeni wala uchaguzi
Mngetangaza tu watu wenu
Mkuu wameamua kumpeleka Mwigulu kwenye uzinduzi halafu wanaawambia wananchi siku hiyo ya Mkutano kutakuwa na kukabidhiwa Vitambulisho vya Uraia. Kwamba Mwigulu ndio anavipeleka.
Wameshaona idadi kubwa ya watu imepotezea kampeni zao.
Na bado.
Dawa ni KUTUBU tu.
 
Back
Top Bottom