Mhe Temba alikuwa JWTZ au JKT?

JKT ipo kabla ya JWTZ, makamanda wa mwanzo kabisa kutoka JKT walishiriki kuunda JWTZ. JKT ili kua imeanzishwa na Makamanda kutoka Israel baada ya baba wataifa kuwaomba serikali ya Israel waanzishe icho chombo hapa nchini.

Ila kwa muundo ulivyo sasa baada ya kuanzishwa kwa JWTZ,JKT lipo katika matawi ya JWTZ. Kama ilivyo kikosi cha wanamaji, kikosi cha anga n.k
 
JKT ipo kabla ya JWTZ, makamanda wa mwanzo kabisa kutoka JKT walishiriki kuunda JWTZ. JKT ili kua imeanzishwa na Makamanda kutoka Islael baada ya baba wataifa kuwaomba serikali ya Islael waanzishe icho chombo hapa nchini.

Ila kwa muundo ulivyo sasa baada ya kuanzishwa kwa JWTZ,JKT lipo katika matawi ya JWTZ. Kama ilivyo kikosi cha wanamaji, kikosi cha anga n.k

Samahani kidogo Mkuu katika majina yote ya nchi zilizopo duniani na hata katika Kitabu takatifu cha Wakristo Biblia hakuna nchi iitwayo ' Islael ' bali kuna nchi inayotambulika hadi Kijiografia kama ' Israeli ' yenye mji mkuu wake Tel Aviv Yafo.
 
Alimaliza kozi ya jkt (jeshi la kujenga taifa) baadae ajira zilipokuja akajiunga na jwtz akafaulu kwenye usaili, nakumbuka wakati tupo kwenye kozi kipindi cha kubadilisha roho ya raia na kuingiza roho ya kijeshi (six week) nakumbuka tulikuwa kwenye mchakamchaka tupo hoi porini tukapewa tano (mapumziko ya muda mfupi) pembeni kuna bwawa la maji tukawa tunaoga bahati mbaya ndugu Amani Temba alijisahau akavua kombat ya juu mkufunzi akaiona ile tattoo yake akaitwa, basi tangu siku ile hatukumuona tena kikosini mpaka nakuja kusikia jamaa yupo uraiani kawa msanii. Ila jamaa aliwahuzunisha watu wengi sana kutokana na ucheshi wake, baadhi ya maofisa pia walihuzunika maana kuingia kwake jkt mpaka jwtz ulikuwa mpango ili baadae aje kuwa mchezaji wa kikapu kwenye timu ya jeshi ndio maana hata uingiaji wake ulikuwa ni hamasa kutoka kwa walimu wa michezo (wanajeshi) pale jitegemee sekondari.
 
Historia nzuri mkuu
 
Back
Top Bottom