MP CHACHANDU
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 875
- 615
Wewe ndoo huna hoja unaropoka tu hii inshu ni hoja ya kitaifa watu kama ninyi ni kufire tuWe jamaa haunaga mada mpya?
Ajira hakuna tufunge mkanda tusubiri 2020
Ajira ni jambo kubwa sana linalogusa karibu kila familia, huwezi kulinyamazia hadi 2020We jamaa haunaga mada mpya?
Ajira hakuna tufunge mkanda tusubiri 2020
Hhahahha mkuu ina maana taarifa za tra ni fekiUsipoteze muda kujiuliza vitu ambavyo hautajibiwa. Mfano kila Mwezi tulikuwa tunasomewa makusanyo ya TRA na kuna miezi tulipewa hadi matumizi. Mwezi November na December 2016 hatujaambiwa chochote kuhusu makusanyo na jamaa wameuchuna kimya kama hakuna kinachoendelea. Chunga sana mtu anayependa sifa pekee, hayuko tayari kupokea mapungufu
Mwambie huyo kichaa anafikri upinzani ndoo wanalia ajira wakati hata ccm na wao njaa tuAjira ni jambo kubwa sana linalogusa karibu kila familia, huwezi kulinyamazia hadi 2020
Tafuta kazi ya kufanya mkuu habari za ajira za Magufuli achana nazo utapoteza muda, Magu tumsubiri 2020, huna na haja ya kujaa upepo kisa nimekwambia ukweliWewe ndoo huna hoja unaropoka tu hii inshu ni hoja ya kitaifa watu kama ninyi ni kufire tu
Watu washaanza kuajiriwa,we badoUkweli usiofichika kwamba ulipokuwa ukisitisha ajira nchi nzima ulitoa waraka kwenda kwenye idara zote kuhusu kutoajiri je ? Uliposema kuwa uhakiki umeisha kwanini usingetoa waraka tena kama ulivyotoa mwanzoni ulipokuwa ukisitisha ajira ?
Ukweli mpaka sasa unatuacha njia panda sisi watanzania kuwa ajira bado umesitisha maana hajatoa waraka wowote wa kuruhusu taasisi za serikali kuanza kuajiri ,kupandisha vyeo ,kulipa madeni ya watumishi nk nini kimekushinda mpaka ushindwa kutoa huo waraka ?
Mbona wametangaza kuwa wanaanza na kada ya afya inafutia elimu vutenj subira mtaajiriwa tuAjira ni jambo kubwa sana linalogusa karibu kila familia, huwezi kulinyamazia hadi 2020
Wapi mkuu ?Watu washaanza kuajiriwa,we bado
Mkuu wewe huoni matamko ?Mbona wametangaza kuwa wanaanza na kada ya afya inafutia elimu vutenj subira mtaajiriwa tu
Tushaona dalili hakuna Tumaini katika awamu hii wakuu fungeni mikanda, hizi post za ajira za Magufuli zimeshaletwa jamvini hata sikumbuki Mara ngapi vile, cha msingi msiziwazie zitawaumiza moyoni, tutafute alternatives maisha yasonge mbele, ifikapo 2020 tusifanye kosaaaAjira ni jambo kubwa sana linalogusa karibu kila familia, huwezi kulinyamazia hadi 2020
Serikali kutuajiri ni wajibu na wala siyo ombi ila sema huyu magufuri nchi imemshindaTushaona dalili hakuna Tumaini katika awamu hii wakuu fungeni mikanda, hizi post za ajira za Magufuli zimeshaletwa jamvini hata sikumbuki Mara ngapi vile, cha msingi msiziwazie zitawaumiza moyoni, tutafute alternatives maisha yasonge mbele, ifikapo 2020 tusifanye kosaaa
Ndoo hapo jamaa kazuiahivi na utaratibu wa kuhama idara upo?yaani kutoka afya kwenda elimu?fedha kwenda misitu?
labda tuwe na subira kidogo!