Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,652
- 13,077
Wazo zuri sana
Nalog off
Nalog off
Imekua miaka ya mafanikio makubwa sana Katika historia ya nchi yetu.Miaka mitatu baada ya kuharibu Nchi ndio unakumbuka umuhimu wa hotuba za mwisho wa mwezi..
Kichwa kaa jiwe.
Unamaanisha hili jiwe liwe linaongea kila mwisho wa mwezi?
Kulia lia na kulalamika kama vile hana mamlaka!!!hotuba za huyu mtu ni mashudu matupu,hanaga jipya kila akiongea ni kulalamika tu na kuchezesha mbichwa ake, hatumuhitaji kwakweli aendelee kufanya uzinduzi na mie nimejenga kibanda changu cha sungura na nimesha andika barua kumuomba aje anizindulie maana nshapata sungura wawili tayari.
Imekua miaka ya mafanikio makubwa sana Katika historia ya nchi yetu.
We are very proud of this term.
Very true mkuu. Hapo alipofikia sasa ameshaweka mwelekeo anaweza kuanza kutoa hotuba za kutupatia wananchi hali halisi na kule tunaelekea.Rais anao utaratibu wa kuaddress Taifa kila anapokuwa Katika event yeyote.
Utaratibu ni mzuri sana kwani unampa fursa ya kuwasiliana na wananchi Mara kwa Mara.
Ila bado naona umuhimu wa kuwa na Ratiba ya hotuba za mwisho wa mwezi ambazo hizo zitakua zimesheheni kila jambo kwa mwezi husika; wenzetu wanaita State of the Union address.
Ikiwamo na hili Hakuna shaka; awamu itakuwa timamu.
Ishu ya SGR kwa updates angalia Reli TV You tube, kule utapata kila jibu la maswali yako.Ukweli ni kuwa alipoingia alikuja kwa mbwembwe na kumalizia miradi ya JK. Ila ukweli kwa sasa amechuja kishenzi na hana lolote jipya la kutuambia. Ajira hakuna na zilizokuwepo kazipunguza kwa kisingizio cha vyeti fake. Unakumbuka kipindi kile live kila uchao tunawadai Barrick $190b, je tumelipwa ngapi mpaka sasa? Makinikia bado yanashikiliwa hapo bandarini? Kama yalikamatwa na wananchi tukaaminishwa tunaibiwa, yameichiwaje? Acacia tuliambiwa hawajasajiliwa hapa nchini, je wameondoka au bado wanachimba madini?
Mradi unaopigiwa upatu wa SGR umefikia % ngapi kipande cha Dar-Moro kabla watu hawajahamasishwa na uzinduzi wa kipande cha Moro-Dom huku hela hamna? Unaweza ukaweka jedwali la viwanda vilivyojengwa toka aingie madarakani na mahali vilipo ili tuvione wenyewe badala ya kutajiwa idadi bila kuonekana hiyo idadi? Mradi wa stigler gorge uliokuwa unahubiriwa kama sehemu ya mafanikio yake eti kisa tender ilitangazwa ni uwongo wa mchana kweupe maana hakuna hata cent ya huo mradi. Sasa hivi kinachofanyika ni kuzindua viwanda vya zamani vilivyo pakwa rangi. Kilichobakia anachokifanya kwa usahihi ni wizi wa mabox ya kura toka vituoni na kuyarudisha. Hizo hotuba unazotaka afanye ataishia kudanganya watu na kutoa vitisho tu, ila hana jipya la kuwaambia wananchi.
Ishu ya SGR kwa updates angalia Reli TV You tube, kule utapata kila jibu la maswali yako.