Mhe. Nundu Vs Mhe.Mfutakamba hapatoshi!!!!!!

Mh.Nundu alikua anatetea maslahi ya umma ndio maana CCCC wakaamua kumtumia mwenzake.

Mkuu umma upi tena wakati Ticts tuu na mkataba wao wa miaka 25 ni mingi sasa yeye na huo mkataba wa miaka 45
Jamaa hilo nundu lipo hadi kwenye moyo wake, Kwa taarifa yako wizara ya uchukuzi na taasisi zote zimefurahi sana kwa jamaa kupigwa chini mwizi mkubwa
 
Hizi taarifa si za kweli, ugomvi wao ulishamamlizwa kwa kutumia vikao vyetu ndani ya chama. Usipende kuwagombanisha wabunge wetu

Mkuu, umekwisha warithi Salvatory Rweyemamu, Nape Nnauye, Tambwe Hiza na Wasira siyo ??
Unakimbilia kukanusha tu bila kuandika undani wa kile kinachotakiwa eeh!!!
 
Mh.Nundu alikua anatetea maslahi ya umma ndio maana CCCC wakaamua kumtumia mwenzake.

Mkuu nakubaliana na wewe, huyu Mfutakamba hakuwa na aibu hatab tone-Yaani rushwa yake ameichukua waziwazi kabisa bila kuogopa chochote!
 
Hizi taarifa si za kweli, ugomvi wao ulishamamlizwa kwa kutumia vikao vyetu ndani ya chama. Usipende kuwagombanisha wabunge wetu

Mwenzio anasema amewaona wamechuniana wewe unatuletea habari zako za vikao vya chama kilichojichokea!! Ebu tuache tufikirie namna ya kurudisha mahela yetu mliyojichotea!
 
Mkuu umma upi tena wakati Ticts tuu na mkataba wao wa miaka 25 ni mingi sasa yeye na huo mkataba wa miaka 45
Jamaa hilo nundu lipo hadi kwenye moyo wake, Kwa taarifa yako wizara ya uchukuzi na taasisi zote zimefurahi sana kwa jamaa kupigwa chini mwizi mkubwa

Mkuu TICTS imekuwepo kabla yake na huo mkataba unaousema wa miaka 45 haikua kweli ni maneno yaliyozushwa na wadau wa CCCC baada ya kuona dili linaharibika wakaja na uzushi huo ili ionekane kua anawakataa CCCC ili aipe hiyo kampuni. Kumbuka yeye alikua anasisitiza kua tenda itangazwe atakaeshinda ndo apewe kazi, mnyonge mnyongeni ila vijisenti vyake mpe. Katika hili la kukataa CCCC kupewa kazi bila ya kushindanishwa alisimamia maslahi ya taifa japo ilitolewa kafara.
Naomba usome hapa- https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...wa-kamati-ya-miundombinu-na-mou-halisi-2.html.
 
Mtutengenezee uzi mmoja juu ya vituko vya hawa "masultan wa vyeo". Chami alilakamika na kulia majuzi, Maige sijui kafanya nini, hawa tena ndio hivyo so plz someone put a documentary of sort.
 
Back
Top Bottom