Mhe. Nimrod Mkono asaini kumwondoa waziri Mkuu!

Tafsiri yangu ni kwamba gazeti la Tanzania Daima wako sahihi! Na sasa nyongo za watu zinaanza kutibuka!.
 
Mbona bandiko langu kuhusu chanzo cha hii habari mmelifuta? Au siku hizi hatutakiwi kuulizia kuhusu vyanzo vya habari?
 
Tupo hapa hapa nyumbani kwetu..naona mnashabikia sana. Msidhani kuwa hii hoja itapitshwa na bunge.

Rejao unawesa kuwa sahihi kabisa kwamba hii hoja haitapitishwa. Lakini ipite au isipite, watu waliotia sahihi watakuwa na capital & moral authority kuhoji utendaji wa serikali. Kwa maneno mengine mbunge yoyote ambaye sahihi yake haiko kwenye hiyo orodha hawezi kusimama tena mbele ya wananchi na kusema anawatetea! A line has been drawn!
 
Tupo hapa hapa nyumbani kwetu..naona mnashabikia sana. Msidhani kuwa hii hoja itapitshwa na bunge.

Haha haha ha ha ha,
Haya Kaka. Vipi na wale wanachama wenu 3500 ambao Lema amevuna huko Mwanza na wenyewe walikuwa mzigo kwa CCM? Sijui utaweka wapi sura yako 2015.
 

dah point yako imesimama mkuu ila imenibidi nikanunue dictionary kwanza..
 
Ndahani pitia hii thread pal... Then you will atleast get an idea ya why am
curious ni wana CCM wangapi/wepi wana sign hii kitu... Nothing personal - it is politics..
 
Last edited by a moderator:
Tafsiri yangu ni kwamba gazeti la Tanzania Daima wako sahihi! Na sasa nyongo za watu zinaanza kutibuka!.

In fact Kikwete amekataa mawaziri wasijiuzulu na huenda ikifika Ijumaa akatangaza baraza jipya.
 
Chanzo ni mimi na nimeshiriki kuwa naye wakati anasaini nyaraka hiyo na nafikiri Zitto akimaliza mazungumzo naye ataweka kwenye wall yake ama twite...

Na mimi pia nilimwambia asiposaini hapati ubunge 2015 tunampa Maregesi.
 
Hon Nimrod wont dare to put his hand on this unless he is very sure of the sole outcome!! I KNOW President Kikwete knows his people and his Country, but I'm sure and have trust Nimrod knows much of this!! Finger xrossed who is the looser .. JK or Nimrod et al.. Wait and see!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…