mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,663
- 18,037
Ngeleja hajarejesha pesa alizopewa na Rugemalila, Bali ameichangia kwa hiari yake serikali kiasi cha fedha kinacholingana na fedha alizopewa na Rugemalila!Nafsi yake ina msuta
Sent from my HUAWEI VNS-L31 using JamiiForums mobile app
Nahisi kuna kitu anabembelezea Huyu! Tusubiri muda utasema! Si mnajua ile nafasi ya Profesa bado haijajazwa,mbona alisema zilikuwa za kufanyia maendeleo? kwa nini azingeonyesha tu,hayo maendeleo yaliyofanyika kuliko kutoa pesa zake mfukoni?
Jibu lake ni muhujumu uchumi kama wahujumu wengine.
Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
Kuna kipindi nadhani ilisemwa kwamba bwana Ngeleja alilipa kodi TRA Milioni 13. Ila leo anarudisha zote SERIKALINI. Weird decision. Sijui alipita TRA kukomba zile M13? Harafu eti huyu nae ni Lawyer. Sijui nae ni lawyer msomi?
Ngeleja has surely incriminated himself.
Ngeleja nasikia amesomea sheriaNgeleja hajielewi, hana tofauti na mwenyekiti wake!
Wendawazimu, wasio na fikra na watoto wadogo wana raha sana Tanzania.
Hajamsaliti....isipokuwa amefanya kile nafsi inaona inafaa zaidi kuunga mkono juhudi za Rais kupambana na ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma.
From Kibiti
Hivi wewe bado chuo kikuuu UDSm bado wanakuendekeza kuwa Mwanasheria wao? no no no