MP CHACHANDU
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 875
- 616
Ukweli Mbowe kinachokurudisha nyuma kisiasa na kukoswa misimamo kisiasa ni kuwa mfanyabiashara utaua upinzani tumeona watu walioleta upinzani wa kweli walikuwa siyo wafanyabishara hebu acha na biashara Fanya siasa ya kweli yenye kuleta ukombozi acha kuhofia kuwa ukiikosoa CCM utaharibiwa michongo yako.
Ukweli na wewe Mbowe umekuwa ukitoa matamko kama viongozi wa CCM mfano ulisema operesheni kata funua imeishia njiani mfano operesheni ukuta imeishia njiani siasa za kweli mmemuachia Lema pekee, wewe Mbowe unafanya biashara sasa hivi upo kimya ukweli utaua upinzani.