ZIARA YA MBOWE MWANZA iwe fundisho kwa viongozi wa JF , kwamba ni kupoteza muda kuwapa AIR TIME wapuuzi kama NYAKARUNGU kumpiga mkwara TAJIRI MBOWE , kiko wapi sasa ? mbona huyo aliyejiita brigedia na akapewa ukurasa humu , hakurudi kueleza ujasusi wake ulivyofanikiwa ? atakuja tena next time na uzushi mwingine mtamuangalia tu , mtu masikini kama huyo hawezi kuizuia cdm kusonga mbele , JF IMESHEA AIBU ILIYOMPATA NYAKARUNGU , NI KWA SABABU TU MLIMRUHUSU KUWEKA UJINGA WAKE HUMU .
Imani yangu kubwa ipo kwa mh. Mbowe ktika kuimarisha chama na naamimi tutashinda. Twende kaz huko Tabora dr. anaendelea na kaz ya kukiimarisha chama changu nikipendacho.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.