SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,753
Kwa kofia yake kama Diwani. Anafaa kuongoza Dar kama Mstahiki Meya . Asanteni
Uzoefu wake ni kuoa au maana jamaa kiki za kuoa kila siku. Kwa wajinga jinga wa siku hizi hatushangaiKwa kofia yake kama Diwani. Anafaa kuongoza Dar kama Mstahiki Meya . Asanteni
🤣 🤣 🤣 🔊Kwa kofia yake kama Diwani. Anafaa kuongoza Dar kama Mstahiki Meya . Asanteni
Kwa kofia yake kama Diwani. Anafaa kuongoza Dar kama Mstahiki Meya . Asanteni
Yaani huyu tapeli awe mayor?Kweli Watanzania ni watu wajinga na wasahaulifu sana!!
Huyu huyu Haji Manara aliyejiuzuru nafasi ya Katibu Uenezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam kwa kashfa ya utapeli wa magari leo anafikiriwa kuwa Mstahiki Meya wa Dar?!
Yawezekana Tanzania ni chanel ya vichekesho huko mbinguni!
Ila CCM wengi ni empty headed baboonsKwa kofia yake kama Diwani. Anafaa kuongoza Dar kama Mstahiki Meya . Asanteni
Waislamu wanafaa kuongoza shura ya maimamu tu siyo taifa wala mkoaKwa kofia yake kama Diwani. Anafaa kuongoza Dar kama Mstahiki Meya . Asanteni
saigon clubKauli ya mleta mada si ya kupuuzwa, inawezekana kuna waliomuwezesha Hajji kupata udiwani hata u meya ili wanufaike.
Kweli Watanzania ni watu wajinga na wasahaulifu sana!!