Mhe. Maige unatania au wamaanisha?

Mhe. Maige unatania au wamaanisha?

nsangaman

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2011
Posts
275
Reaction score
42
Katika taarifa ya habari tarehe 26.1.2011,waziri Maige akiwa Hifadhi ya Taifa Saadani ulio agizo kuwa TANAPA iajiri wananchi wanaoishi karibu na Hifadhi hiyo, marufuku kuajiri wasio wakazi wa karibu na Hifadhi.
Hivi Mhe.Waziri ulikuwa unamaanisha au ilikuwa ni kipiga changa la macho wananchi hao mbele ya Mbunge wao mhe.Pamba?
 
Back
Top Bottom