Mhe. Lema: Mimi siyo Blueband

Lema siyo mtu wa ndiyo mzee, anajitambua na kuheshimu haki za binadamu
 
Lema hajawahi kuwaangusha wapiga kura wake
Unapokua mpinzani inabidi uwe mpinzani wa kweli na sio mnafiq, kuna changamoto nyingi utazipata moja wapo ni rusha especially hizi nchi za Afrika, unatakiwa na msimamo, Big up Lema
 
Watawala wanajiona wapo juu ya sheria
Hii biashara hii! Historia tu ndiyo ambayo itakuja kutoa hukumu za haki. Chama tawala chenye kushika dola na lundo la wasomi wengi, kugeukia silaha ya rushwa "as their last resort for survivor"!? Pathetic.
 
Nina wasi wasi na usomi wake huyo Bashiru
 
Kama ni kweli Bashiru amefanya biashara za kununua watu ni aibu kubwa sana na Ccm haistahili kuendelea kutawala. Kumbuka ahadi za mwana TANU sita pokea wala kutoa rushwa..
 
Izi siasa kama siasa zingine
 
Mifano yako ya ajabu sana, hujui kama Lwakatare alifukuzwa Chadema? Upinzani dhaifu huku unauzuia kufanya siasa? Utopolo kweli kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…