kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Unapokua mpinzani inabidi uwe mpinzani wa kweli na sio mnafiq, kuna changamoto nyingi utazipata moja wapo ni rusha especially hizi nchi za Afrika, unatakiwa na msimamo, Big up Lema
Hii biashara hii! Historia tu ndiyo ambayo itakuja kutoa hukumu za haki. Chama tawala chenye kushika dola na lundo la wasomi wengi, kugeukia silaha ya rushwa "as their last resort for survivor"!? Pathetic.
Vipi yule wa masasi 16 siyo jambazi?Huyu ni jambazi sugu bora ashinde arudi bungeni, vinginevyo atasumbua sana raia!
Tunatakiwa Watanzania wote tufuate nyayo za Mh Lema,wakija na rushwa zao kama kofia,t-shirts, kanga,kitenge,sukari,pombe,chumvi au kingine chochote,tuwaambie hatununuliki.Tuukatae unyonge,hofu na chuki tunazopandikiziwa na hawa watawala wababe.Bila rushwa huwa ni wepesi hawa.Unapokua mpinzani inabidi uwe mpinzani wa kweli na sio mnafiq, kuna changamoto nyingi utazipata moja wapo ni rusha especially hizi nchi za Afrika, unatakiwa na msimamo, Big up Lema
Sijui nime NDIO!Huyu ni jambazi sugu bora ashinde arudi bungeni, vinginevyo atasumbua sana raia!
Atarejea kuiba magari tena?Huyu ni jambazi sugu bora ashinde arudi bungeni, vinginevyo atasumbua sana raia!
Na yule jambazi aliyemfukuza C.A.G ili aibe vizuri tumuweke kundi gani?Huyu ni jambazi sugu bora ashinde arudi bungeni, vinginevyo atasumbua sana raia!