Hivi nimekua harsh? Nadhani ni mshtuko tu.Mwali kumbe huwa unakuwa serious???....nataka na mimi nifanye kama huyo kijana...hope u wont be harsh kwangu!!
lol...kumbe hapa una mabodgad kibao? dah, ama kweli hapa zipo namba nyingine hapana chezea!!Hivi nimekua harsh? Nadhani ni mshtuko tu.
@Dazipozi: sorry kama nimekua harsh, ila next time make sure I am consulted before you make declarations that involve me.
@ Rejao: Ungesema wewe ningekushtaki kwa Protector wangu (Klorokwini) au kwa rafiki yangu (Ivuga).
Na wangeshindwa kesi ningepeleka kwa uncle na anti kabisa... bila shaka wangekwambia uache. Mi Mwali bwana!
S.Ivuga jana kakutafuta sana....ulimsabahi? alikuwa anapiga bia zake tu!!Hivi nimekua harsh? Nadhani ni mshtuko tu.
@Dazipozi: sorry kama nimekua harsh, ila next time make sure I am consulted before you make declarations that involve me.
@ Rejao: Ungesema wewe ningekushtaki kwa Protector wangu (Klorokwini) au kwa rafiki yangu (Ivuga).
Na wangeshindwa kesi ningepeleka kwa uncle na anti kabisa... bila shaka wangekwambia uache. Mi Mwali bwana!
Sijamuona toka jana... ngoja hangover yake ikiisha nitamtafuta.S.Ivuga jana kakutafuta sana....ulimsabahi? alikuwa anapiga bia zake tu!!
Ooooh!!! inamaana mdomo wake mzito hivyo? I told u that day...ungeniachia mimi nijiexpress myself!!Sijamuona toka jana... ngoja hangover yake ikiisha nitamtafuta.
Hivi unakumbuka siku ile alisema anakunywa bia mbili alafu kuna kitu atasema?
hajawahi sema hadi leo hii!
Mimi? walaaaaOoooh!!! inamaana mdomo wake mzito hivyo? I told u that day...ungeniachia mimi nijiexpress myself!!
Hukutaka tu kupina nafasi, haya ona sana unakufa na kijibwa cha roho!!
Kwahiyo Saint Ivuga ajikalie tu kimya?Mimi? walaaaa
Sitarajii ujumbe toka kwa mtu yoyote, kwa hivo hata kama hanipi wake ni poa tu.
Itakua bora kwakwe.Kwahiyo Saint Ivuga ajikalie tu kimya?
Sijamuona toka jana... ngoja hangover yake ikiisha nitamtafuta.
Hivi unakumbuka siku ile alisema anakunywa bia mbili alafu kuna kitu atasema?
hajawahi sema hadi leo hii!
Samahani, kumbe wenyeji bado mpo?Wamegeuza uzi wangu kijiwe cha stori.
GM uko wapi mama...
Mi nimemtisha nini sasa? mbona nimemrahisishia sana kwanza? Hana mpango wowote naona.Mi pia nakumbuka.....kuwa hajakisema. Nadhani ulimtisha eeh Mwali!
your what? have we met before? Do I know you?
Wamegeuza uzi wangu kijiwe cha stori.
GM uko wapi mama...
Samahani, kumbe wenyeji bado mpo?
Tunajadili nini hasa kakangu?
ajenda kuu ilikuwa ni mimi kuoga uchi endapo GM angekuwa mjumbe wa mjengo wa JMT.
Katikati ya mada ikajitokeza ajenda ndogo ya mimi kuwa Baba Mbunge endapo GM atakwaa kiti, nikipata upinzani mkubwa toka kwa Rejao ambaye so far hata mahitaji yake hayajui.
Mwali,Mxushaanza kuchekacheka.
Sijui nani kakutekenya...
Naomba uyaache hayo ya kunihusisha na wewe tafadhali.Mwali,Mx
Ok sor kama nimekukwaza,MxNaomba uyaache hayo ya kunihusisha na wewe tafadhali.