Mhe. Freeman Mbowe amkabidhi rasmi kadi ya CHADEMA Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Leo kwenye mkutano wa hadhara hapa Baraa Secondary Mhe. Sumaye atapokea kadi ya uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) anapewa kadi ya CHADEMA Rasmi.

Lowassa, Msigwa, Sugu, Owenya, na wabunge kibao kushuhudia.

Ni kwenye mkutano wa kufunga kampeni za uchaguzi jimbo la Arusha Mjini, utakao fanyika kesho tarehe 13.12.2015.

Msemaji Mkuu ni Kamanda wa anga Freeman Mbowe.
 
Asante kamanda kwa taarifa hii.

Mhe Sumaye rasmi sasa ndani ya jeshi la ukombozi
 
Leo kwenye mkutano wa hadhara hapa Baraa Secondary Mhe. Sumaye atapokea kadi ya uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) anapewa kadi ya CHADEMA Rasmi. Lowassa, Msigwa, Sugu, Owenya, na wabunge kibao kushuhudia. Ni kwenye mkutano wa kufunga kampeni za uchaguzi jumbo la Arusha Mjini, utakao fanyika kesho tarehe 13.12.2015 msemaji Mkuu ni Kamanda wa anga Freeman Mbowe

Mbona hapo hamna jipya , iliisha fahamika toka siku nyingi
mie naona kama mnapigia tu mstari ila ki ukweli jamaa Sumaye
ni kada mtiifu wa CHADEMA toka kitambo tu.
 
Last edited by a moderator:
CHADEMA sio habari ya mjini tena. Bora nikifatilie chama cha ADC au CHAUMMA.

na wala kufunga kamba za viatu za Riz1 siyo Habari ya Mjini tena labda za magufuli au mke wa magufuli
 
Amegundua jipu lake lipo online and very soon litatumbuliwa so ameamua kujiunga rasmi cdm kutaka sympathy ya wanachama wa chadema. Jamaa janja janja sana huyo
 
Leo kwenye mkutano wa hadhara hapa Baraa Secondary Mhe. Sumaye atapokea kadi ya uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) anapewa kadi ya CHADEMA Rasmi. Lowassa, Msigwa, Sugu, Owenya, na wabunge kibao kushuhudia. Ni kwenye mkutano wa kufunga kampeni za uchaguzi jumbo la Arusha Mjini, utakao fanyika kesho tarehe 13.12.2015 msemaji Mkuu ni Kamanda wa anga Freeman Mbowe

naona kasi ya kuwapa kadi vikongwe inaongezeka!.. ha haa!... R.I.P chadema
 
CHADEMA sio habari ya mjini tena. Bora nikifatilie chama cha ADC au CHAUMMA.

Leo Azam Na Simba, ndo angalau stori ya leo! Eti sumaye anapewa kadi leo, hovyo kabisa! Wanazidi kujichimbia shimo lefu.
Na lazima ajiunge, hakuna jinsi.
 
Back
Top Bottom