Mhe.Freeman Mbowe akiongoza kikao cha Baraza la Uongozi la Kanda ya Ziwa Victoria kilichofanyika Leo tarehe 20.10.2018 Jijini Mwanza

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
IMG_20181020_152009.jpg
 
Maskini Sumaye katika meza yeye ndie kiongozi aliyewahi kushika nyadhifa kubwa hapa Tanzania lakini leo hii anatumwa na akina mnyika na mdee
 
Watu makini hawa!
Na hapo ndo utajua kuwa nyinyiem wana akili za ufahamu ambazo haziwezi kutatua matatizo. Hawa wana akili za nusu fahamu ambazo ndo zinazoongoza kwenye kuleta utatuzi wa migogoro katika jamii.
Piga kazi makamanda.
 
Yaani ningekuwa Mimi ningenyuti tu nakaa na wajukuu, hii ni Sawa na samatta aje kustaafu mpira halafu asajiriwe ndanda fc
Kila mtu ni unique! kama hukujua hilo kabla chukua leo litakusaidia maishani kijana.
 
Maskini Sumaye katika meza yeye ndie kiongozi aliyewahi kushika nyadhifa kubwa hapa Tanzania lakini leo hii anatumwa na akina mnyika na mdee
Huo ndio mfano w kiongozi wa Ukweli. Nenda Israel utaelewa, Netanyahu kesha kuwa Waziri mkuu, akarudi kuwa waziri wa kawaida na nyazifa zingine kisha karudi kuwa waziri Mkuu.
Kubuka marehemu mzee Kawawa Kesha kuwa Waziri mkuu mwenye mamlaka ya kuongoza nchi kabisa 1962, akawa Waziri mkuu mtendaji tuu, waziri wa kawaida hadi kuwa waziri asiye na wizara maalum kisha makamu mwenyekiti wa chama tawala. Vyeo ni utumishi tuu. Usije shangaa siku moja Jiwe baada ya kutoka madarakani akawa Nyapala mkuu gereza la Ukonga.
 
Watu makini hawa!
Na hapo ndo utajua kuwa nyinyiem wana akili za ufahamu ambazo haziwezi kutatua matatizo. Hawa wana akili za nusu fahamu ambazo ndo zinazoongoza kwenye kuleta utatuzi wa migogoro katika jamii.
Piga kazi makamanda.
kabisa
 
Back
Top Bottom