Mhe. Edward Lowassa apata mapokezi mazito Nzega

Tujifunze Ghana na Gambia.... Chama kizee king'oke
 
Hayo Ndiyo mapokezi ya kishindo Duh? Hata Makonda alikuwa na mapokezi mkubwa mbagala kuliko huyo Lowassa wenu
Makonda wako kiboko yake chinga tu hana uwezo wa kuwatoa mjini. Alafu kumbuka hao chinga mamantirie na bodaboda ni marafiki wa lowassa.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mpka jpm amewaomba urafiki. VP hapo upo?
 
Alilazimishwa kujiuzuru kwa kashfa za wizi.
 
Hivi huyo mzee bado anataka nini? Ingawa nilimpa kura yangu, lkn asingetufikisha Tanzania tunayotaka. Magufuli anatosha kutunyoosha. Maana watanzania hamna kizuri. Jk alitembea sana mkampa jina la vasco!!! Go magu!!!
Acha uongo kura yako ulimpigia mbunge wako muuliza maswali ya nyongeza mathayo manyinyi na magufuli. Acha kuongea uongo mana nakujua vizuri tu
 
KAMA CHADEMA HAWANA PLAN B, WATAANGUKIA PUA TENA 2020, KUMTEGEMEA LOWASSA AWE MGOMBEA NI SAWA NA KUOTA NDOTO ZA LEMA. CHADEMA WANAPASWA KUMUANDAA KIJANA ASIE NA DOA MWENYE HISTORIA ILIYOTUKUKA YA UADILIFU, MCHAPAKAZI, ANAESEMA AKATELEZA, MUONGEAJI JUKWAANI, ANAE JUA KUJIBU HOJA KWA WELEDI, ANAEWEZA KULITUMIA JUKWAA KWA ZAIDI YA SAA MOJA TENA AKIPANGUA HOJA MAHSUSI. KWA BAHATI MBAYA SANA CHADEMA WALA UKAWA HAWANA WATU WA HIVI INASIKITIHA SANA .
 
Idadi ya watu hata harusi ya Makene imemzidi halafu mnajinasibisha kuwa kazi nzuri, kweli CDM KWISHA KABISA
 
Walimchagua aliyopo ikulu hao njaa ndiyo inawapeleka puta
 
Huyu mzee alikuwa mtu wa watu nilitegemea baada yauchaguz kumalizika hbr za lowasa nazo kwisha kumbe...
Lipumba umesahau tangu 1995 mpaka leo bado yumo Maalim Seif pia tangu 1995 mpaka leo, Mcheza sinema si lazima kuisha sababu movie huwa haziishi kunoga labda Director na ma producer wawe wabovu mkuu. Atatamba kama mwaka juzi na jana wakati akiwa bado CCM ikifika siku ya siku hakuna lolote hapo alipoaanzia imekuwa magharibi bora angeanza kama mwenzie Lipumba akiwa kijana kuliko sasa maana ikifika mwaka 2025 sidhani kama atakua na nguvu tena labda amrithishe mtoto wake Fredy Lowasa
 
Huyu ni bingwa na nguri wa siasa, hataki kupigizana makelele na watu, yeye anakuua kimya kimya… hongera sn EL
 
Tujifunze Ghana na Gambia.... Chama kizee king'oke
Siyo kwa ubabaishaji huu wa Wapinzani wa TZ! Mgombea mwenyewe mroho wa madaraka anayetumia nguvu kubwa kuwa Rais!! 2020 ataisoma namba!! Hata nusu ya kura za 2015 hapati!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…