Manyerere Jackton
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 2,438
- 4,465
Mleta uzi una chuki zako. Nipo mwanza. Sijamuona mwalimu kulangwa. Hata akiwapo, si kosa. Mhariri si lazima awe kaajiliwa. Uhariri wake hauondoki kwa kuondoka Uhuru. Mhariri ni mhariri kama ilivyo kwa jenerali wa jeshi. Huwezi kuwa si jenerali kwa sababu eti umeacha utumishi wa jeshi.