Mhariri Danny Mwakitereko is no more!

Fred Katulanda

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
374
509
Taarifa ambazo zimenifikia punde zinasema kuwa mhariri wa New habari Danny Mwakiteleko amefariki dunia kiwa anaendelea kupatiwa matibabu Muhimbili. Danny alilazwa hapo kutokana na kupata ajali ya gari usiku wakati akitoka kazini. Bwana ametoa, na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe!
 
He was my husband's friend! I can not forget him, was very humble man!! very sad! Mungu ailaze roho yake pema. kweli dunia tunapita
 
Taarifa ambazo zimenifikia punde zinasema kuwa mhariri wa New habari Danny Mwakiteleko amefariki dunia kiwa anaendelea kupatiwa matibabu Muhimbili. Danny alilazwa hapo kutokana na kupata ajali ya gari usiku wakati akitoka kazini. Bwana ametoa, na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe!
hii taarifa ina ukweli kiasi gani?MODS tusaidiane ku-verify!
 
R.I.P Danny, sote tumetokea kwa M/Mungu na hakika kwake tutarejea; wafiwa poleni na mola awape subira katika wakati huu wa majonzi.
 
I doubt unamaanisha JK yupi maana JK tumjuaye yupo SA.

INAONEKANA FILE LAKO HALIPO UPDATED, Mbona JK karudi na kesha ivolve na matukio mengi jana kakutana na viongozi wa kikristo na pia kakutana na waziri wa afya wa USA, Yes Jakaya Mrisho Kikwete alikwenda kumwangalia jana.

R I P Danny.
 
Lol pumzika kwa amani mpiganaji!! Hii ajali ilikuwaje kwani? hakuna wa kutujuza kidogo? Very shocking news.
 
Back
Top Bottom