Mhandisi mwalimu anaomba msaada.

Mhandisi mwalimu anaomba msaada.

Mkuu both teams to score-YES pole sana kwa situation yako, and the first to do is not to give up, endelea kupambana huku ukimshirikisha Muumba wako hakika the day will come, utaona anakushika mkono kukuvusha kwa mlango uliofunguka.

The next thing is to create some passive ways of making money (Fx, Crypto, Stocks) etc.... These doesn't require one to speak or interact with people to make money. Just you and your computer at home. Ila hii iwe ya Mwisho kabisa focus zaidi na hiyo ya juu hapo firstly.

Keep hoping the better days are coming.... Ninavyokushauri hivi ninajua changamoto km ya kwako imenisibu that's why I feel it.

Kila la heri mkuu both teams to score-YES
Ahsante sana mkuu..Pole sana Pia..Muumba ndo kila kitu,nitazd kupambana mkuu.
 
Mkuu umesoma lakini huheshimu taaluma za watu,wewe sio mwalimu,hivyo hupaswi kusema unauwezonwa kufundisha,ualimu sio kufundisha tu what is physics or chemistry,ualimu ni zaidi ya hayo,sijawahi kuta mwalimu aliyesoma chemistry au biology akijinadi kuwa anauwezo wa kutoa huduma za kitabibu au mtu yeyote aliyosoma fani tofauti akijita yeye ni mwanasheria,kwanini ualimu!?

Nyie ndo munaoufanya ualimu uonekane hauna maana, kwamba baada ya kuona mambo yako hayaendi basi pumziko ni kwenye ualimu!!?
Take it easy mkuu! Hata mwalimu anaweza kuwa mhandisi mzuri bila hata kusomea, ni kujifunza field tu namna kazi zinafanywa! Mifano ya watu kama hao ipo mingi, unakuta mtu ni engineer, mwalimu, mwanasiasa, mwandishi n.k kwahiyo nikisema nina uwezo wa kufundisha, ninamaanisha
 
Take it easy mkuu! Hata mwalimu anaweza kuwa mhandisi mzuri bila hata kusomea, ni kujifunza field tu namna kazi zinafanywa! Mifano ya watu kama hao ipo mingi, unakuta mtu ni engineer, mwalimu, mwanasiasa, mwandishi n.k kwahiyo nikisema nina uwezo wa kufundisha, ninamaanisha
Yes , kuwa mtaalamu wa jambo Fulani sio lazima usomee

Kuna watu wanafanya kazi bank Ila wamesoma ualimu na wengine ni Engineer .

Nadhani mkuu upo sahihi hata Mimi mwalimu wangu alikuwa Mwanasheria na kanifundisha vizuri Sana O-level .
 
Mie pia ni Engineer ila Mie nina mtihani mkubwa sana ktk maisha yng kuhsu ajira na Condition yngu..Age inasogea kigugumz chang kinanikosesh aman hasa ktk saili hizi nashindw kukizuia ndo kinazidi kabisa..Sijui itkuwje .
Umesomea uhandisi wa nini mkuu?
 
Salaam, Ninaishi Dasalam. Umri wangu ni miaka 26, kitaaluma mimi ni mhandisi wa mitambo (mechanical engineer) ila sijawahi fanya kazi kama engineer, nimesajiliwa na bodi ya wahandisi na nimepewa kibali cha kufanya SEAP, lakini mpaka sasa shughuli zinazonifanya nisurvive ni kufundisha (teaching) japo kwa sasa sina kituo. Nimekuja kwenu kuomba kushikwa mkono kwenye moja kati ya haya au yote: (1) Connection kwenye kupata sehemu yoyote ya kufundisha; Nina uwezo wa kufundisha masomo matatu kwa ufasaha Physics, Chemistry na Mathematics kwa level zote, uzoefu upo wa kutosha. (2) connection kwenye kupata Taasisi/kampuni ya kufanya SEAP au kujishikiza ili niweze kuendeleza taaluma yangu ya uhandisi. Natanguliza shukurani zangu!
Usisahau kuwa kuna maandamano 24.01.2024. Jiunge ili uibadilidhe nchi.
 
Back
Top Bottom