Mhadhiri wa Chuo cha uhasibu Arusha Asimamishwa kazi kisa Rushwa ya Ngono

Kwakweli demu mbovu sio siri mbaya mweusi kasuka twende kilioni na mchupi wake wa mtumba mweusi


Hapo lecture katuaibisha Wana demu angekuwa mkali tungempa sapoti baharia tungekuwa nyuma yake tunajua ni hali ya udhaifu angesimamishwa kazi kishujaa


Ila kwa yule demu huyu jamaa boya sana ila sema kana mahips
Kwako dem mkali awe mweupe mwembaba..mimi demu mkali kwanza awe na msambwanda wa haja..hayo mengine ndio naanza kuyaangalia..yani kigezo cha msambwanda ni given kama pai kwenye pepa la mathematics.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mungu wa ajabu sana....kipindi yuko chuo huyu jamaa alikuwa anakomaa na GPA mambo ya ngono hakuyataka kabisa.
Sasa kafaulu na kafanikiwa ndiyo anaanza mambo ya ngono kiboya boya ona sasa yanavyomgharimu maisha.
 
Mhadhiri wa Chuo cha uhasibu Arusha (IAA), Adam semlambo ameingia matatani akihusishwa na Rushwa ya ngono ambapo uingozi wa Chuo cha uhasibu Arusha umemsimamisha kazi kwa muda kuanzia Jana.
Uyo lecturer wangu diploma na bachelor mr.Adamu Semlambo kawala sana watoto wa uhasibu na kawasaidia wengi kufaulu kwa kuwapa paper baada ya kuwala
 
Uy
Labda wazuri walikuwa wanamkataa
Uyo alikuwa anapiga mademu wa kila aina ni mwalimu wa IT kanifundisha diploma na bachelor jamaa amesoma india hadi masters ana maisha mazuri tu hajaoa nahisi na ana gari kali murano ya rangi ya machungwa ila issue zake sasa ana tamaa na mademu kila darasa atakalo fundisha lazima appoint mademu wa kuwala na anakula kila kilicho mbele yake na paper anawapa mademu anao wala😀😀
 
Back
Top Bottom