Mhadhiri wa Chuo cha uhasibu Arusha Asimamishwa kazi kisa Rushwa ya Ngono

Dah!! Ila alikua poa sana huyu jamaa somo lake watu tulikua tunajipgia tu hakua mnoko.. Kanifundisha mim mwaka 2016.. Tena alikua na msemo wake anapenda kuusema " common sense is not for most common people" sasa sijui imekuaje tena lecture wetu kazingua
Sio yeye ni Mbunye msee
 
Kwakweli demu mbovu sio siri mbaya mweusi kasuka twende kilioni na mchupi wake wa mtumba mweusi

Hapo lecture katuaibisha Wana demu angekuwa mkali tungempa sapoti baharia tungekuwa nyuma yake tunajua ni hali ya udhaifu angesimamishwa kazi kishujaa

Ila kwa yule demu huyu jamaa boya sana ila sema kana mahips
 
Kasomi: kwa nini umetoka na demu ambae watu mtandao wanasema ni mbovu (licha ya mimi kutomuona).

Mhadhiri: mkuu huyo demu ana chura(Makalio) hatari ndio maana lecturer nikanasa.

Mimi: 🤣🤣🤣
 
Tena mmoja alinipora demu wangu kibabe kabisa,maana alikuja hadi getto kwangu hapo tu nyuma ya chuo kwa Minja,akagonga nikafungua mlango,demu nilikuwa naye ndani,teacher akaniambia kwa jazba "kesho unatakiwa kwa mkuu wa chuo" halafu akamgeukia yule demu na kumwambia "na wewe toka nje haraka sana" dem kwa woga akanyanyuka naa kusepa ghafla,teacher akanigeukia na kuniuliza "huyu ni nani kwako? Nikamjibu ghafla kuwa nilimuita ili nimkope hela kidogo kwani mambo yangu hayajatulia,nimeishiwa,teacher akaniuliza "unamkopa shilingi ngapi? Nikamwambia ni 30,000 tu mkuu,akaniuliza "utalipa lini?" Nikamjibu "siku yoyote nikipata" akazama kwenye pochi yake na kuchomoa 20,000 akanipa na kuondoka chap! Na huo ndiyo ukawa mwisho wa mahusiano yangu na yule manzi,kila nikincheki ananiambia bado yupo chuo akitoka atanishtua,baadaye akawa anazima simu kila jioni,baadae akani block mazima,kila nikimtafuta ananiletea ndizo sizo,nikaamua kutimkia kushoto,hadi natoka hapo njiro huyu mtu amekuwa adui yangu mkuu,hata leo nikimkamata namfanya mbaya tu,nikikumbuka dem alivyokuwa ananinyonya pale Pub la monny hasira zinaongezeka,anyway huyo naye afukuzwe tu.
Pole mwana iaa

Mwalimu gani alikuwa huyo?

Shida baadae walichukua vijana vijana wengi pale
 
Kasomi: kwa nini umetoka na demu ambae watu mtandao wanasema ni mbovu (licha ya mimi kutomuona).

Mhadhiri: mkuu huyo demu ana chura(Makalio) hatari ndio maana lecturer nikanasa.

Mimi:
Sema jamaa akisema sio mwanafunzi huyo wanaweza waamini na akashinda kesi maana demu mwenyewe mbovu
 
Back
Top Bottom