Mhadhiri UDSM: Rais Magufuli, Tanzania sio kampuni yako binafsi

Naona watu wameanza kumnyooshea goti live bila chenga.

Naamini huyu Prof. atakuwa salama kwasbabu kwasasa Bashite yuko busy na baby boy wake aliyempata juzi baada ya kumtafuta sana kwa udi na uvumba.
 
Mkuu Max naye si umemuona hapo !?..Ni kupambana tu Mkuu..
Wamteke ananinii huyo au ww ndio utamteka naona unaanza kuandaa mazingira ili ufanikishe lengo lako lakini ili mradi usha predict humu basi lolote likitokea kwake kama ulivyotabiri basi tutarudi kwako mkuu kukupa hongera
 
Kutumiwa bila kuwa na akili ni kitu kibaya sana. Anayofanya Magufuli si mageni duniani, nchi yeyote LAZIMA iwe na sheria isipokuwa hapa Tanzania wananchi walizoea ubabaishaji mno na kutofuatiliwa ulipaji kodi kwa miaka zaidi ya 30 mpaka ikawa kama vile ujinga ndiyo hali halisi ya watanzania. Bahati mbaya, hata wasomi wetu nao ni mambumbumbu kwani hawajuwi chochote.

Unachosema ni kweli. Je, Maneno ya huyu mama yana ukweli kiasi gani?
 
Mh anatengeneza upinzan ndan ya chama chake ukiachilia mbali kuwapaisha wapinzam kwa kuwalindimishia kesi Lukuki cortin
Nape kaja na Sera mpya ya mwaka 2020
"KAZI ZAIDI,KASI ZAIDI" na alsema. Nape potelea mbali wabunge Wa kusini tupo kwnye mchakato Wa kumuondoa mkuu pale juu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom