Mhadhiri UDSM: Rais Magufuli, Tanzania sio kampuni yako binafsi

Ne

Kaka nenda pale uhamiaji kawaambie wakuangalie ww raia wa wapi watakupa jibu na ingependeza ungeenda na huyo mdada ungepata jibu sahihi sana
Nilitarajia ungekuja na majibu ya kisayansi, kumbe....Anyway, MUNGU ni wetu sote
 
Watu sasa wamechoka.....

Wanaamua kujilipua tu, maana wameona ile kumlemba huyo Jiwe wakati watu wanaumia, hiyo haijengi....
Huyu kwanza ni demu wa ZZK na kazaa nae. Anaitwa Vicensia Ahule ni Mchaga na kwao ni pale tu unapomaliza gereza la Karanga Moshi kama unaelekea Arusha. Baba yake alikuwa na Bar inaitwa Tanzania. "Tanzania Bar". Mpaka hapo nafahamu mshajua ni nini anafanya. Hana jipya anatumiwa tu. Popularity hunting pia.
 
Huyo anaonyesha kwanini hajachaguliwa na Rais wstu mpendwa kupewa bonge la cheo kama wengine..

Anatafuta kiki tu..
 
Wamteke ananinii huyo au ww ndio utamteka naona unaanza kuandaa mazingira ili ufanikishe lengo lako lakini ili mradi usha predict humu basi lolote likitokea kwake kama ulivyotabiri basi tutarudi kwako mkuu kukupa hongera
Mkuu hayo Ni Mawazo yako ..Mimi nakubaliana Na hoja Zote Zilizotolewa Hakuna Wa Kumgusa Mhadhiri wala Max..ndiyo Maana Nikasema tuendelee kupambania haki.
 
Back
Top Bottom