Acheni jamani mbona hajafanya kosa lolote amesingiziwa tu na hata yale kuitwa mnafiki amesingiziwa tu na hata kwamba yuko kwenye payroll ya serikali na ni ndumilakuwili siyo chadema halisi bali ni gov.agent anasingiziwa tu.
Swali yeye ni nani mpaka awe kila siku anasingiziwa tu na hakuna watu wengine wa kusingiziwa?
Kwa kazi chache nzuri alizowahi kuzifanya si ingelitosha kabisa kumjengea heshima kubwa katika jamii lakini anayepigiwa kelele kila siku ni yeye tu ana nini cha ziada?