Kwa kweli mh. Zitto nakupongeza sana maana wewe sio kijana wa kawaida katika taifa hili, una akili una uwezo wa kujenga hoja na kwakweli umestahili kuwa hata rais wa taifa hili.
Najuwa wasiokupenda watasema mengi ila mimi nakuhakikishia hata wangekuwekea sumu kali za kukuangamiza Mungu alie juu sana atakuponya na kukupandisha juu sana kileleni kama Mandelam
Najuwa kuna watu wanatamani wakuangamize ila nakuhakikishia hutokufa, hutokufa utaishi na walio kusudia kukuua watakufa wao ukiwashuhudia kwa macho yako.
Mipango yote ya kishetani haito kuweza, your God choosen people wewe sio wa kawaida, wewe sio wa kawaida we pray for you, we pray for you all this nation we pray for you and i promise you will see God hands and power in everything you do.
Thank you lord for give us tanzanian zitto kabwe.