mbutalikasu
Member
- Jan 20, 2012
- 53
- 21
Mkuu tiss huwa wanawapa taarifa ambazo wanapenda kuzisikia (zile zinazowasifia tu), zile ambazo zinaonyesha mapungufu yao huwa hawapelekewi ili wajirekebishe. Matokeo yake ni kuwa na viongozi wapuuzi na vilaza tu siku zote.TISS wanapitaga humu, hope wata include hii kwenye report zao.
PUMBAFU ZENU, NENDI BUNDA MUONE,
kwa ufupi ni kwamba hata Chadema yote na Vyama vingine vyote vikihamia Bunda leo na ukafanyika uchaguzi, na Wasira akawa peke yake, uhakika wa USHINDI wa Wasira utakuwa 90%.
Wasira had, and had, has and have made credible and unforgettable mass development to his people.
Huu ni uchochezi!!!! Angalia thread hii isije kufungiwa.
Hv hao watu wapo nchi hii mboba jk alisema hawafahamu richmund.TISS wanapitaga humu, hope wata include hii kwenye report zao.
Ha! ha! ha! ha! ha!
Atajibu:
Huu ni uchochezi!!!! Angalia thread hii isije kufungiwa.