Mh... Vitambi kwa masista du...!

Mh... Vitambi kwa masista du...!

sangwine

Senior Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
144
Reaction score
45
Jaman si utani hili nalo ni janga...
Dada mrembo sura kama mtoto wa primary.. Shuka kidogo kifuan kwa kiasa pana mvuto.. Lakini maeneo ya tumbo sasa mh sisemi zaidi.. Unakuta tumbo limetepeta mithili ya mrenda.. Yan bila kushangaza unakuta dada kakuvalia kitopu, yupo bar anafakamia bia na kitimoto kama kilo 2 hivi.. Hakuna cha mazoezi wala nin ktk pilika zake za kila siku... Sasa hivi akishika mimba atakuwaje au baada ya kujifungua..?
Some times nyie ndo mnasabab4sha jamaa zenu wawachoke ... Kwan hata kita 6*6 ladha na maufundi yanakosekana... Fungukeni mabinti mazoez na diet ni muhimu....
 
hivi kitambi ni kibaya kwa wanawake tu ? au ndo mfumo dume at work
 
Af nami tangu nianze kazi kitambi kimeanza kumbe hamvipendi?
 
Kula ale yeye, kitambi apate yeye, kukasirika ukasirike wewe!!!!!!!!!
Majangaaa!!!!!!!
 
Kuna sehemu mnasemwa nyie mnaojishughulisha na mionekano ya watu.
 
hahaaa nicheke mie,ila kuna baadhi ya wadada wanajiachia sana

bia,nyama choma mwisho wa siku ndo mambo kama hayo........
 
Kitambi kwa mwanamke wakati wa libeneke :thumbupsafi sana, ingawa kinatakiwa kisiwe kikubwa sana!:thumbup:
 
Back
Top Bottom