CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Mashikolo
Watuwache tupumuweeee miaka 900....
Hawajui kuna watu wanaenjoy hivo vitambi????
Mashikolo
Kitambi noma kwa wote.
Watuwache tupumuweeee miaka 900....
Hawajui kuna watu wanaenjoy hivo vitambi????
Kabsa..............ngastuka na machale kundesa
Kitambi nipate mimi, wenyewe wakereke.....
Majangaaaaa mbona majangaaaaa!!!!!!
hawajui kwamba kina kazi yake hcho?
Nawashanga na shanga sina!!!!
Watuwache tupumuweeee miaka 900....
Hawajui kuna watu wanaenjoy hivo vitambi????
Eti umeambiwa kwenye ile sredi yako ingine inayohusu vitambi umewapangia watu maisha!
Jaman si utani hili nalo ni janga...
Dada mrembo sura kama mtoto wa primary.. Shuka kidogo kifuan kwa kiasa pana mvuto.. Lakini maeneo ya tumbo sasa mh sisemi zaidi.. Unakuta tumbo limetepeta mithili ya mrenda.. Yan bila kushangaza unakuta dada kakuvalia kitopu, yupo bar anafakamia bia na kitimoto kama kilo 2 hivi.. Hakuna cha mazoezi wala nin ktk pilika zake za kila siku... Sasa hivi akishika mimba atakuwaje au baada ya kujifungua..?
Some times nyie ndo mnasabab4sha jamaa zenu wawachoke ... Kwan hata kita 6*6 ladha na maufundi yanakosekana... Fungukeni mabinti mazoez na diet ni muhimu....
Kitambi nipate mimi, wenyewe wakereke.....
Majangaaaaa mbona majangaaaaa!!!!!!