Lai Otieno
JF-Expert Member
- Aug 13, 2013
- 311
- 90
Ni vyema akawahukua wale wanaolilia jela ili waone hali halisi ya huko
Ni vyema akawahukua wale wanaolilia jela ili waone hali halisi ya huko
Kaka Lukosi, hivi ni kweli ulikwapua? Kila sehemu jamaa wanakuzodoa...Haswa wewe uliyekwapua rambirambi!
kila la kheri kamanda,
Mhe Mbunge wa Musoma Mjini Vincent J Nyerere siku Tarehe 27 atetembelea Wafungwa na Mahabusu katika Gereza La Musoma ikiwemo kusikiliza kero zao,changamoto za askari Magereza.,kuwatakia heri ya krismasi na kupanga kunywa nao uji Asubuhi ya Mwaka Mpya. ..
Mungu ambariki
poNgEzi za dHaTi zimFikiE
Duu huyo Nyerere hakuna cha maana anachokifanya ati kunywa uji na wafungwa is that an issue? Duu hizi siasa hizi ni balaa!
Nimeuona mji wa musoma unachangamoto nyingi na anapaswa kutimiza ahadi zake na sio kunywa uji na wafungwa! Hii sio miongoni mwa ahadi zake!
Lakini kwa hakika ahadi za CCM zinatekelezwa hapa Musoma ikiwemo kumalizia kipande cha barabara toka bunda hadi musoma mjini na mradi mkubwa wa maji!