Mh. Vincent Nyerere Mbunge wa Musoma Mjini kutembelea magereza

Lai Otieno

JF-Expert Member
Aug 13, 2013
311
90
Mhe Mbunge wa Musoma Mjini Vincent J Nyerere siku Tarehe 27 atetembelea Wafungwa na Mahabusu katika Gereza La Musoma ikiwemo kusikiliza kero zao,changamoto za askari Magereza.,kuwatakia heri ya krismasi na kupanga kunywa nao uji Asubuhi ya Mwaka Mpya. ..
 
Ni vyema akawahukua wale wanaolilia jela ili waone hali halisi ya huko
1455843_563761497042582_1316833920_n.jpg
 
Mhe Mbunge wa Musoma Mjini Vincent J Nyerere siku Tarehe 27 atetembelea Wafungwa na Mahabusu katika Gereza La Musoma ikiwemo kusikiliza kero zao,changamoto za askari Magereza.,kuwatakia heri ya krismasi na kupanga kunywa nao uji Asubuhi ya Mwaka Mpya. ..

tayari Mhe (Mb) ameshawasili jimboni.
 
Duu huyo Nyerere hakuna cha maana anachokifanya ati kunywa uji na wafungwa is that an issue? Duu hizi siasa hizi ni balaa!

Nimeuona mji wa musoma unachangamoto nyingi na anapaswa kutimiza ahadi zake na sio kunywa uji na wafungwa! Hii sio miongoni mwa ahadi zake!

Lakini kwa hakika ahadi za CCM zinatekelezwa hapa Musoma ikiwemo kumalizia kipande cha barabara toka bunda hadi musoma mjini na mradi mkubwa wa maji!
 
Kesho ataenda pale police officers Club atakunywa bia na ndugu zake mutasema hongera sana Nyerere!

Watu wa CDM wana shida kubwa katika bongo zao!
 
Haya hongera kwa kucheza pool na vijana! Kazi nzuri na miongoni mwa ahadi zako kucheza pool!

Hizo ndio habari wazipendao kuzisikia mashabiki wa CDM!
 
Leo amelala na mkewe nyumbani safi sana Mbunge kazi nzuri ya kutekeleza ahadi zako za kuimarisha ndoa yako!

Hayo ndio maendeleo tunayoyataka!
 
Wewe habari ya mujini, kosa la Nyerere ni nini? Kwani walioko magereza sio binaadam? Na je hawastahili kusikilizwa? Tafakari kwa kina!
 
Mh. Nyerere wewe ni waziri kivuli mambo ya ndani, usiishie kunywa uji na wafungwa was gereza la Musoma tu, ila unatakiwa kutembelea magereza yote Tz ni si kunywa uji tu ila kujua changamoto zao na kushauri solutions
 
Duu huyo Nyerere hakuna cha maana anachokifanya ati kunywa uji na wafungwa is that an issue? Duu hizi siasa hizi ni balaa!

Nimeuona mji wa musoma unachangamoto nyingi na anapaswa kutimiza ahadi zake na sio kunywa uji na wafungwa! Hii sio miongoni mwa ahadi zake!

Lakini kwa hakika ahadi za CCM zinatekelezwa hapa Musoma ikiwemo kumalizia kipande cha barabara toka bunda hadi musoma mjini na mradi mkubwa wa maji!

acha kuongea utumbo mbele za wanaume wenzio njoo Musoma Mjini uone manedeleo aliofanya Mhe Nyerere hizo buku saba zenu zaitakupeleka baya ndugu hapa tunaweka hoja sio matusi wewe kweka hoja zako mimi nina hakika leo wakitaka mbunge bora wa msimu kwenye ilani ya ahadi yake Mhe Vincent ndo atakuwa wa kwanza kwa kazi zake nzuri.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom