assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
- Thread starter
- #41
Maadili zero
Wee kama una angalia umri ata baba yako angetakiwa kuwa kama bakhiresa mmiliki wa bidhaa za azam
Acheni kufikiria kwa MasaburiMh sugu anaaibisha wabunge kwa tabia zake zisizo na staha hivi kumwambia waziri mkuu wa nchi mpumbavu na hata asingekuwa waziri mkuu mtu aliesawa na umri wa baba yako hata kama amekosea sio haki kutoa matusi tatizo bado anafikiri yupo jukwaani anatumbuiza bongofleva kumbe kwa ss ni kioo cha jamii shame on u brother na nibora umeomba msamaha don repeat childish thing while ur a respected person
Aliyesema fuc*k yu.....anaimba nini?
akili zako na zake sawa
Mbona umemwita mh, kama unadhani alikosea?
Mh sugu anaaibisha wabunge kwa tabia zake zisizo na staha hivi kumwambia waziri mkuu wa nchi mpumbavu na hata asingekuwa waziri mkuu mtu aliesawa na umri wa baba yako hata kama amekosea sio haki kutoa matusi tatizo bado anafikiri yupo jukwaani anatumbuiza bongofleva kumbe kwa ss ni kioo cha jamii shame on u brother na nibora umeomba msamaha don repeat childish thing while ur a respected person

Kwa hiyo kamuiga huyo? Na wewe unaungana naye? Wewe bwana ako akitafuta demu wa kona na wewe unatafuta bwana wa kona?
kwani wewe ni mbunge wa jimbo gani?Nimemfutilia mbali kwny Facebook siwezi kuwa na marafiki wasio na akili na adabu
Peleka mifano yako ya kiliberali huko lumumbaKwa hiyo kamuiga huyo? Na wewe unaungana naye? Wewe bwana ako akitafuta demu wa kona na wewe unatafuta bwana wa kona?
kwi! Kwi! Kwi!huyu naye anafikiri bado yupo msituni!
![]()