Mh Sugu bado anafikiri yuko kwenye BongoFleva?

Mh Sugu bado anafikiri yuko kwenye BongoFleva?

Status
Not open for further replies.
hafai kutiwa mheshimiwa.. muite sugu tu
 
Mpumbavu ni mpumbavu tu, anaweza kuwa na umri wowote, anaweza kuwa wa kabilaa lolote, anaweza kuwa na cheo chochote, anaweza kuwa na dini yoyote nk. Kumheshimu mpumbavu sababu ya umri wake au cheo chake ni upumbavu mara dufu. BRAVO SUGU!
 
Kwanza Waziri Mkuu alitakiwa kufuta kauli yake kabla haijaingia kwenye HANSARD.Na kwa dini yake WM Mpumbavu siyo tusi bali tabia ya mtu kwani hata kwenye biblia imeandikwa .Sugu amesema kilicho moyoni na kwenye akili yake tusimalaumu.Kila mtu ana haki na uhuru wa kuongea.
 
Aliwahi kusema ukiona mtu mzima anakwambia upuuzi uku akijua kwamba ni upuuzi anakudharau na anakutusi
 
Mh sugu anaaibisha wabunge kwa tabia zake zisizo na staha hivi kumwambia waziri mkuu wa nchi mpumbavu na hata asingekuwa waziri mkuu mtu aliesawa na umri wa baba yako hata kama amekosea sio haki kutoa matusi tatizo bado anafikiri yupo jukwaani anatumbuiza bongofleva kumbe kwa ss ni kioo cha jamii shame on u brother na nibora umeomba msamaha don repeat childish thing while ur a respected person

Hivi wakati ule, unatumia JF ID ile kabla ya hii uliosajiri 15/06/2013, ulikumbuka kumwambia Serukamba maneno haya baada ya kulidhalilisha bunge na naibu spika wake?
 
Haya mambo ya mtu akiitwa mpumbavu mnaanza unafiki wa kusema kuwa eti analingana na baba yako, eti kwa sababu hiyo hapaswi kuitwa hivyo!! Kwani baba wa mtu hawezi kuwa mpumbavu?! Ina maana mababa wote ni werevu?!

Unafiki umetujaa! Upumbavu ni matendo, hata umwite ni mwerevu haitasaidia!
 
Mh sugu anaaibisha wabunge kwa tabia zake zisizo na staha hivi kumwambia waziri mkuu wa nchi mpumbavu na hata asingekuwa waziri mkuu mtu aliesawa na umri wa baba yako hata kama amekosea sio haki kutoa matusi tatizo bado anafikiri yupo jukwaani anatumbuiza bongofleva kumbe kwa ss ni kioo cha jamii shame on u brother na nibora umeomba msamaha don repeat childish thing while ur a respected person
wewe na huyo waziri mkuu wako pumbavu zenu.
 
Hakika nimetambua kuwa Watanzania bado tuna safari ndefu sana,kama mjadala wa Mhe waziri mkuu umekuwa ndio gumzo ndani ya mitandao ya kijamiii,we still think by using little minds,leo mkiulizwa ni watoto wangapi wanakufa kwa kukosa huduma za msingi,ama familia ngapi zinafurugika na kusababisha ongezeko la vijana ombaomba mtaani,ni wanawake wangapi wanakufa kwa kukosa huduma za msingi,kama mama yako mdogo aliyeko kule kijijini anavyohangaika kuamka asubuhi kwenda kuchota maji kilomita mbili au tatu,mnawaza vitu vya kipuuzi tu,kwanza mi nampongeza kwa kauli yake ya ujasiri,huwezi kuhatarisha amani alafu ukaachwa tu huku ukijua ukipelekwa kituoni utaachiwa baadae huku ukishngiliwa kama mfalme juha,nenda Arusha katizame pale biashara za watu zimeharibika sababu ya kushabikia maovu,kama baba yako angekuwa tour guard angekuambia,waulize watoto ambao baba zao wanadeal na utalii watakwambia,big up pinda.
 
Kwa hiyo kamuiga huyo? Na wewe unaungana naye? Wewe bwana ako akitafuta demu wa kona na wewe unatafuta bwana wa kona?
unauliza harafu unajijibu mwenyewe kama mtu ni pinda ni pinda tu teh teh
 
wote wana makoosa ila tukae tukijua binadamu kawaida kukosea na mtu msomi haoni tabu kukosolewa tusipindishe ukweli kisa huyu ccm na yule cdm
 
mh sugu anaaibisha wabunge kwa tabia zake zisizo na staha hivi kumwambia waziri mkuu wa nchi mpumbavu na hata asingekuwa waziri mkuu mtu aliesawa na umri wa baba yako hata kama amekosea sio haki kutoa matusi tatizo bado anafikiri yupo jukwaani anatumbuiza bongofleva kumbe kwa ss ni kioo cha jamii shame on u brother na nibora umeomba msamaha don repeat childish thing while ur a respected person

mwisho wao ni 2015 acha watukane
 
Mh sugu anaaibisha wabunge kwa tabia zake zisizo na staha hivi kumwambia waziri mkuu wa nchi mpumbavu na hata asingekuwa waziri mkuu mtu aliesawa na umri wa baba yako hata kama amekosea sio haki kutoa matusi tatizo bado anafikiri yupo jukwaani anatumbuiza bongofleva kumbe kwa ss ni kioo cha jamii shame on u brother na nibora umeomba msamaha don repeat childish thing while ur a respected person

Wabunge wetu baadhi ni majanga tupu

Kwani kuna ubaya gani kumwambia mtu mpumbavu?!.... Kama mtu ni mpumbavu umwambieje?!...

Mithali za suleiman zinasema: Mpumbavu hata ukimtwanga kwenye kinu pamoja na ngano upumbavu hautamtoka!.. Hivi kama wewe unaagiza kupiga, kutesa na kuua tukuiteje?
 
hafai kutiwa mheshimiwa.. muite sugu tu

Liwalo na liwe!!!!... Piga!... Pigeni msiwaache,.. sasa tufanyeje!.... Wanaoua Albino ua!... ANAYETUKANA JE?.... JIBU .....TUKANA...

Hivi tukiibuka na misimamo hii si tutajenga taifa la WAPUMBAVU?!
 
Mh sugu anaaibisha wabunge kwa tabia zake zisizo na staha hivi kumwambia waziri mkuu wa nchi mpumbavu na hata asingekuwa waziri mkuu mtu aliesawa na umri wa baba yako hata kama amekosea sio haki kutoa matusi tatizo bado anafikiri yupo jukwaani anatumbuiza bongofleva kumbe kwa ss ni kioo cha jamii shame on u brother na nibora umeomba msamaha don repeat childish thing while ur a respected person
Nani kakudanganya kuwa kaomba msamaha? wewe unaelewa maana ya MPUMBAVU? Tafakari na chukua hatua.
 
Wewe huna akiri hata moja pia,hivi huoni ni ajabu kwa waziri mkuu kutoa kauli ya kishenzi kama ile,yale Pi..n.da ndo hana adabu kwa watanzania,waziri mkuu anavunja sharia za nchi ndani ya bunge,avunja sharia ya police na majukumu yao kwa taifa..Waziri mkuu hana mamlaka ya kuamuru police wapige au kuuwa watu labda kwa msaada tu kwako wewe mpumbavu miwingine maana na kazi ya police ni "A civil force responsible for the prevention and detection of crime and the maintenance of public order"hapo nadhani utaona ni kwanini sugu alisema huyu jamaa mpumbavu,maana Waziri Pinda,amekuwa mwanasheria miaka mingi sana,amefanya kazi ikulu pale na anaelewa kabia kazi ya police,sasa iweje anaanza kupindisha sharia zilizopo ktk katiba ya Tanzania ambayo aliaapa kuilinda...hana mamlaka ya kutoa amri ya police kushambulia wwatu na kuwauwa.
 
Ur thoughts determines a very simple mind of urs brother,biashara zimeharibika sababu ya kupiga watu,watu wamkufa sababu ya police,wewe pia ni mpumbavu kwa kuunga mkono upumbavu,huna akili timamu wewe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom