Mh Sugu bado anafikiri yuko kwenye BongoFleva?

Status
Not open for further replies.
Nimemfutilia mbali kwny Facebook siwezi kuwa na marafiki wasio na akili na adabu
 
hakika waziri mkuu ali rop[oka kabisa
 
Mh sugu anaaibisha wabunge kwa tabia zake zisizo na staha hivi kumwambia waziri mkuu wa nchi mpumbavu na hata asingekuwa waziri mkuu mtu aliesawa na umri wa baba yako hata kama amekosea sio haki kutoa matusi tatizo bado anafikiri yupo jukwaani anatumbuiza bongofleva kumbe kwa ss ni kioo cha jamii shame on u brother na nibora umeomba msamaha don repeat childish thing while ur a respected person

Mpaka 2015 mtabadili ID hadi Lumumba ifilisike. Maana buku 7 zina mifanya msilale kisa kumfurahisha Mwigulu. Juliana na Mwampamba wanasema mnawaonea wivu kisa wanafugwa kama ZERO GRAZING. Jamaa kiulaiiiiiiniiiii!
 
Mh sugu anaaibisha wabunge kwa tabia zake zisizo na staha hivi kumwambia waziri mkuu wa nchi mpumbavu na hata asingekuwa waziri mkuu mtu aliesawa na umri wa baba yako hata kama amekosea sio haki kutoa matusi tatizo bado anafikiri yupo jukwaani anatumbuiza bongofleva kumbe kwa ss ni kioo cha jamii shame on u brother na nibora umeomba msamaha don repeat childish thing while ur a respected person

Hilo neno ukilinganisha na mtu aliyetoa amri kwa polisi kupiga raia ni yupi hamnazo..
 
mpaka 2015 mtabadili id hadi lumumba ifilisike. Maana buku 7 zina mifanya msilale kisa kumfurahisha mwigulu. Juliana na mwampamba wanasema mnawaonea wivu kisa wanafugwa kama zero grazing. Jamaa kiulaiiiiiiniiiii!
mm ni mzalendo an not working 4 any1
 
...kumwambia waziri mkuu wa nchi mpumbavu na hata asingekuwa waziri mkuu mtu aliesawa na umri wa baba yako hata kama amekosea ...........

navyojua mimi hakuna specification ya umri au cheo kwenye definition ya neno mpumbavu/stupid.
 
Heshima yako mdada!niongeze na yule asiye ongea na mbwa sijui anaimba nini?

Na yule aliyesema Chadema wametungwa mimba bila kujali kama chama hicho kina wanaume ambao hawawezi kutungwa mimba huyo naye vipi?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Mh sugu anaaibisha wabunge kwa tabia zake zisizo na staha hivi kumwambia waziri mkuu wa nchi mpumbavu na hata asingekuwa waziri mkuu mtu aliesawa na umri wa baba yako hata kama amekosea sio haki kutoa matusi tatizo bado anafikiri yupo jukwaani anatumbuiza bongofleva kumbe kwa ss ni kioo cha jamii shame on u brother na nibora umeomba msamaha don repeat childish thing while ur a respected person

Wee kama una angalia umri ata baba yako angetakiwa kuwa kama bakhiresa mmiliki wa bidhaa za azam
 
Mh sugu anaaibisha wabunge kwa tabia zake zisizo na staha hivi kumwambia waziri mkuu wa nchi mpumbavu na hata asingekuwa waziri mkuu mtu aliesawa na umri wa baba yako hata kama amekosea sio haki kutoa matusi tatizo bado anafikiri yupo jukwaani anatumbuiza bongofleva kumbe kwa ss ni kioo cha jamii shame on u brother na nibora umeomba msamaha don repeat childish thing while ur a respected person

Mpumbavu ni Mpumbavu tu hata iweje!???
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom