Mh Sugu bado anafikiri yuko kwenye BongoFleva?

Mh Sugu bado anafikiri yuko kwenye BongoFleva?

Status
Not open for further replies.
Ni ukweli kwamba amepata ubunge kwa kura za "maruhani"( hate to ccm votes) na sio kwasababu ya sifa zake binafsi au chama chake, ilitegemewa ajitahidi kulinda heshima ya nafasi ya uwakilishi na kutuliza mzuka wa uMC.
 
Ndo hivyo watu wanadhani kila mtu anaweza kuwa mwanasiasa, mtu akipata kaumaarufu na vijisenti vya kampeni basi anagombea. Usishangae kusikia joti mbunge........
 
Mpumbavu anaonekana tu kwa upumbavu wake,jamaa ni mpumbavu haswa kwa kauli zake za kipumbavu!!pumbavu kabisa!!
 
Wapo wengine tuu, na yule Mh hupendelea kujiita kibajaj kiboko cha Catapiler Tractor...!
 
Natamani nione nilichangia nini kwenye ule uzi,
kweli siasa ni mchezo mchafu.
 
Acha kuleta mawazo ya kenge blue hapa. Nani kakuambia waziri mkuu hawezi kuwa mpumbavu?
 
Na wewe pia unalipwa 7,000 hufai au bado uko kwenye majaribio?
Mpumbavu: ni mtu anaetoa maneno yanayonuka kinywani mwake nae ni P.i.nda

wewe ni Mpuuzi na mshenzi usiyejua kuheshimu mamlaka Sugu siku zake zinahesabika hayawani huyu
 
Mh sugu anaaibisha wabunge kwa tabia zake zisizo na staha hivi kumwambia waziri mkuu wa nchi mpumbavu na hata asingekuwa waziri mkuu mtu aliesawa na umri wa baba yako hata kama amekosea sio haki kutoa matusi tatizo bado anafikiri yupo jukwaani anatumbuiza bongofleva kumbe kwa ss ni kioo cha jamii shame on u brother na nibora umeomba msamaha don repeat childish thing while ur a respected person
Mbona Sugu anabusara maana hata msamaha kaomba unasemaje kuhusu Serukamba aliyesema F. U au uliona ni neon zuri.
 
Inawezekana hiyo ikawa ni tafsiri moja tena ambayo imekupendeza wewe na wengine wa namna yako. Lakini pia ungeweza ukasema kuwa huenda Mh. Sugu kashindwa kuendelea kuvumilia mambo yasiyo ya haki na uvunjifu wa sheria unaofanywa na watu ambao wanaaminiwa kuwa ndio viongozi katika kulinda na kuhifadhi utu na sheria za nchi yetu. Huyu unaweza ukadhani ni pekeake kumbe ni kwa vile tu alikuwa katika taperecorder akarekodiwa. Wapo wengi sana ambao wamesha hitimisha juu ya hadhi ya Mh. Pinda kuwa kama alivyosema Mh. Sugu. Mimi pia ukatae usikatae, ni mmoja kati ya wale wanao ona Mh. Waziri Mkuu wetu anastahili kuitwa kwa heshima aliyopewa na Mh. Sugu kwa matendo na fikra zake.
 
mh sugu anaaibisha wabunge kwa tabia zake zisizo na staha hivi kumwambia waziri mkuu wa nchi mpumbavu na hata asingekuwa waziri mkuu mtu aliesawa na umri wa baba yako hata kama amekosea sio haki kutoa matusi tatizo bado anafikiri yupo jukwaani anatumbuiza bongofleva kumbe kwa ss ni kioo cha jamii shame on u brother na nibora umeomba msamaha don repeat childish thing while ur a respected person

pia ww ni mpumbavu ujui na ujui kama ujui ndio tafsiri yake
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom