Mh. Sugu apata mtoto

Kazuri ila katoto kashapiga vidole viwili juu mapema hata macho hajafungua....!!
 
  • Thanks
Reactions: Edo
Nimeamini Simba jike hata awe mkali vipi, atazaa tu.

Kumbe Faiza alikua haonekani hapa JF sababu ya kulea mimba??

Soon utasikia MAMA POROJO kazaa na J. J. Mnyika!!!

Kumbe ndio maana kaacha mbwembwe za 'kuikandia' Chadema! Ha ha haa...Hongera Sugu kwa kudhirihisha uSugu wako!
 
She is too busy with politics...after all I guess she's too bossy!!

Hakuna mwanamke asiyependa mtoto jamani huwezi jua ana matatizo gani

Labda mtoto hapatikani

usione mtu ana kaa kimya moyoni anaugulia
 
hongera kamanda!
Mlee sasha katika njia impasayo naye hataiacha hata atakapokuja kuwa mzee!
 
Wanafanana sana! Hongera sugu!

Acha kutuzoa nyayo bana. Yaani mtoto wa siku moja afanane na Sugu.
Nakumbuka mafundisho ya Sunday School. 'when children are born they all resemble God, you can see God on their faces'
 
Back
Top Bottom