Mh. Steven Wassira afunika Mwanza

Unataka awe mweupe ili uolewe kwake wasira hataki mashoga kama wewe nenda kwenye ukumbi wa baba yenu mbowe utamkuta akuunganishie mashoga anao wauza kwenye ukumbi wake wa mashoga.
 
Sasa ndo amefunika nini huyo Sokwe!

turudi katika ustaarabu wa kawaida,baba yako akihitwa hivyo utafurahi ? tofauti za vyama visitufanye tuwe wajinga wewe panda chadema na yeye mwache atetea ccm huna haja ya kumwita majina ambayo hastahili mpinge kwa hoja hiyo ndiyo tz tunayoitaka
 
JUDAMANY inawezekana hujui ulichoandika. Ni kweli zilipatikana 300,000,000 taslimu na ahadi 10 million? au ni cash 10 million na ahadi 300,000,000? Hiyo saruji waalikwa walikuja nayo ikiwa kwene bahasha za "size" gani?

Hata mm nimepata mashaka kama yako!
 
Last edited by a moderator:
Askofu wa Jimbo la Mwanza katoa million 47?? Jimbo katoliki au wasabato?
unaposema nitoke kijiweni unajua niko wapi na nafanya kazi gani??
Hongera kwa kutoa mchango mzuri.

 
kumbe humu ndani majuha wengi hivi nani ambaye anajiona mzuri sana aibu kujadili majina ya watu na sio mambo wanayoyafanya
 
askofu mkuu wa wasabato alimnukuu desmond tutu katika moja ya vitabu vyake kwamba taasisi za dini ni lazima zihusike katika kutoa huduma kwa jamiii zikiwamo huduma za afya,elimu,maji na nyinginezo bila ya kujali tofauti za kiitikadi na askofu akasema neno la mwisho la desmond tutu analolipenda kwamba isiwe shuruti kwa mtu atakayepata huduma ya taasi ya dini fulani kwamba huyo mtu aingie dini hiyo kwakuwa basi msabato kamhudumia mkatoliki au muislamu sio lazima kwa watu hao kubadili imani zao kwaaji ya huduma walizozipata kwasababu muhimu ni kumhudumia mtu kama kiumbe kilichoumbwa na mwenyezi mungu
 
Naona tunapiga hatua utalii wa ndani! Hamja muelewa tu aliepost hii kitu.
 
Askofu wa Jimbo la Mwanza katoa million 47?? Jimbo katoliki au wasabato?
unaposema nitoke kijiweni unajua niko wapi na nafanya kazi gani??
Hongera kwa kutoa mchango mzuri.
Asante kwa kunipongeza' zaidi ya yote sifa na utukufu umrudie Mungu yeye atupaye rizik zake kila siku. Askofu aliyechangia sh milion 47 ni askofu mkuu wa jimbo la Nyanza kusini Sabato. Ndugu wakati mwingine nakwambia utoke kijiwez coz mawazo yako yanakuwa yanafanana na watu waliokosa matumaini ya maisha na kubaki kulaumu kwa kila jambo na kutafuta simple answers kwa maswal ya msingi
 
we have to ask ourselves
hizo hela wamepata wapi?
kutoa mchango askofu sio issue.
the big issue here is hizo hela kapata wapi?
Askofu huyo ana biashara gani? je zimechangwa na waumini au ni zake binafsi?
usiwe mwepesi wa kukubali kila kitu bila kuhoji..
Watanzania tutabaki kuitwa wajinga kwa vile hatupendi kuhoji na anaehoji anaonekana msaliti.
usikimbilie kumwita mtu anaepingana na wewe ni mtu wa kijiweni, You dony know me nor my occupation.

 
Kabla ya kuleta kitu jamvin watu huwa tunafanya upembuzi yakinifu. Mimic binafsi nimefatilia chanzo cha hz pesa walilizotoa hawafikish maaskofu (wachungaji) nimegundua kuwacmamia pesa hizi c zake askofu mwenyewe bali ni pesa zake ofisi. Yaan katika bajet ya makao makuu tanzania, wamekaa wakaona wao wachangie hicho kiac na ofsn ya jimbo la nyanza kusin wakatoa hicho kiac lakn waliokuwa wanaziwasilisha ni viongoz wa ofsn hizo yaan askofu mkuu wa Tanzania na askofu mkuu wa jimbo .
So hizo c pesa binafsi bali ni bajet kutoka katka taasisi wanazoziongoza. Na chanzo kikuu cha pesa hizo ni zaka na sadaka zake waumi zinazotolewa makanisan hugawanywa kwa asilimi toka kanisa husika mpaka makao makuu ya wasabato Duniani. Labda jambo la jambo la kukwambia ni kuwacmamia wachungaji wa SDA huwa hawaruhusiwi kuanzisha wala kusimamia biashara ya aina yoyote ile ndogo sana wala kubwa sana hata iwe ni ya kanisa. Na wala hawaruhusiwi kufanya kazi yoyote ile ya kipato tofauti na wito walioitiwa(uchungaji) . Kufanya hvo kwa mchungaji ni sababu ya muhim ya kuachishwa kazi ya uchungaji SDA wamefanikiwa kutenganisha biashara na dini kwa viongoz wa dini. Pia ... Jambo la kutia moyo ni kwamba, mwishon mwa mwez wa 6 mwaka huu waadventista wasabato wote Duniani watatoa sadaka kwa ajili ya hospital hii ya mwanza ili ndugu zetu watanzania wote bila kujali tofauti zake kidin wapate huduma muhimu zake afya.
 
Lokissa, ua occupation mm hanihusu' issue ni kwa ukija na mawazo ya kale I hv to challenge u, ni wajibu wangu mm kukuondoa kutoka mawazo ya namna hiyo na kuwacmamia na mawazo ya kukusaidi kama kijana au mtanzania makini. Hata mm pia... nlikuwa napenda sana kushikiria dhana ndogo kama za ufisadi, upendeleo , rushwa na uonevu' pale nlipokuwa naona jambo flan' ambalo c la kawaida limetendeka tenaciously c kwa upande ambao mm binafsi naushabikia au naupenda .
 
sinto msahau Wasira kwa uwamuzi wake wa Busara kuhusu kuchinja japokuwa viongozi wenzake hawamuungi mkono kwaba:suala la kuchinja kwa sababu ya biashara waachiwe waislamu ila kama mkristo anaweza kuchinja kwa ajili ya kula yeye mwenyewe au na wakristo wenzake
 

licha ya kiswahili chako kibovu katika jukwa hili
lakini hapo kwenye red hebu tueleze kwako ufisadi , rushwa na uonevu
ni dhana ndogo?
sasa kati yangu na wewe nani mwenye mawazo ya kale?
unaelewa maana halisi ya ulivovitaja kwenye red?
Dunia ya sasa hakuna mchungaji asiefanya kazi ya kumwingizia kipato akisubiri michango ya waumini.
Hata mapadri wa kanisa katoliki wana miradi yao ya kuwasaidia kuendeleza parokia zao.
Nawajua wachungaji wengi tu wasabato tena rafiki zangu wanafanya biashara na kazi za kuwaingizia kipato.
Ulichoandika ni dhana tu na sio hali halisi..
 
duuhh..kweli afunika nimeona ..yani heading na meseji full upuuz mtupu.asante kujivua nguo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…