Mkuu kiongozi bora ni yule anayeshiriki kwa namna yoyote katika shughuli zake maendeleo na ustawi wa jamii. Ujenzi wa hospital kubwa kama ambayo wasabato wanaijenga mwanza ni jambo jema kwa jamii nzima kwa hiyo mtu yeyote bilateral kujali itikadi zake kidin wa kisiasa anayejishughulisha na huduma kama hizi kwa namna moja amazing nyingine ni lazima ss kama jamii tumpongeze... So kijana labda nkwambie kuwacmamia harambee haikuwa kwa ajili ya kujenga kanisa' ila ni kwa ajili ya kujenga hospital' kitu ambacho ni cha manufaa kwa jamii nzima' so suala la kunywa mataputapu hilo linaweza geukia upande wako endapo kama hujatambua tofauti kati ya ujenzi wa kanisa na hospitality au shule kwa jamiinlidhani alikuwa na mkutano wa kisiasa wakakusanyika wengi na kupata wanachama wengi
kumbe ni harambee ya kanisa..
watu wengine wanakunywa kwanza chimpumu ndio wanakuja kupost mada humu.
sii bure tumeambiwa Tanzania inaongoza kwa kunywa mataputapu na mtoa mada ni mmoja wapo.
Masatu kasaidia kuhamasisha mkuu' make kuna watu humu ndan wanapenda kupost ilimradi wakatolik ukiwapa hata shughuli ya kuwacmamia MC wa harus hata 1milion hawafikish' so ni lazima tutambue mchango wa mhamasishaji katika hafla yoyote ile' tuache siasa' Masatu kajitahid kuhamasishahizo si ni sadaka za waumini , sasa Masatu kafunika nini ?
amefunika nini sasa
Akiongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa hospitali ya Kanisa la Waadventista Wasabato Pansiansi Mwanza, ambayo inatarajiwa kuwa hospital kubwa ya 3 kwa jiji la Mwanza nyuma ya hospital za Bugando na ile ya mkoa ya rufaa ya Sekou Toure. Zimepatika Jumla ya sh milion mia tatu na kumi, mifuko 200 ya simenti na ahadi ya sh milion 10 cash.
Akiongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa hospitali ya Kanisa la Waadventista Wasabato Pansiansi Mwanza, ambayo inatarajiwa kuwa hospital kubwa ya 3 kwa jiji la Mwanza nyuma ya hospital za Bugando na ile ya mkoa ya rufaa ya Sekou Toure. Zimepatika Jumla ya sh milion mia tatu na kumi, mifuko 200 ya simenti na ahadi ya sh milion 10 cash.
Mkuu kiongozi bora ni yule anayeshiriki kwa namna yoyote katika shughuli zake maendeleo na ustawi wa jamii. Ujenzi wa hospital kubwa kama ambayo wasabato wanaijenga mwanza ni jambo jema kwa jamii nzima kwa hiyo mtu yeyote bilateral kujali itikadi zake kidin wa kisiasa anayejishughulisha na huduma kama hizi kwa namna moja amazing nyingine ni lazima ss kama jamii tumpongeze... So kijana labda nkwambie kuwacmamia harambee haikuwa kwa ajili ya kujenga kanisa' ila ni kwa ajili ya kujenga hospital' kitu ambacho ni cha manufaa kwa jamii nzima' so suala la kunywa mataputapu hilo linaweza geukia upande wako endapo kama hujatambua tofauti kati ya ujenzi wa kanisa na hospitality au shule kwa jamii
Stephen masatu wasira kanyaga twende wewe ni jembe achana na hao wanao kuita sokwe kwani mbowe na makengeza yake mbona hawa msemi au nyani haoni kundule umechangia hospital hao wanao kutukana wanachangia wachaga wakale na malaya zao MUNGU AKUBARIKI mheshimiwa na uzidi kuwaonyesha kwamba una nguvu za kushawishi watu wakachanga na sio kuandamana!
amefunika nini sasa