Akiongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa hospitali ya Kanisa la Waadventista Wasabato Pansiansi Mwanza, ambayo inatarajiwa kuwa hospital kubwa ya 3 kwa jiji la Mwanza nyuma ya hospital za Bugando na ile ya mkoa ya rufaa ya sekou toure. Zimepatika Jumla ya sh milion mia tatu na kumi, mifuko 200 ya simenti na ahadi ya sh milion 10 cash
Hivi mtu akienda kanisani anakua amefunika?
Njaa iishie tumboni, ikipanda kichwani huwa ni hatari sana
JUDAMANY inawezekana hujui ulichoandika. Ni kweli zilipatikana 300,000,000 taslimu na ahadi 10 million? au ni cash 10 million na ahadi 300,000,000? Hiyo saruji waalikwa walikuja nayo ikiwa kwene bahasha za "size" gani?Akiongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa hospitali ya Kanisa la Waadventista Wasabato Pansiansi Mwanza, ambayo inatarajiwa kuwa hospital kubwa ya 3 kwa jiji la Mwanza nyuma ya hospital za Bugando na ile ya mkoa ya rufaa ya Sekou Toure. Zimepatika Jumla ya sh milion mia tatu na kumi, mifuko 200 ya simenti na ahadi ya sh milion 10 cash.